Wewe shoga Nini? Jifikirie weee na future yako, mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewewalinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao.
Kumbuka mapato ya bishop Gwajima yalitegemea zaidi sadaka na matoleo ya bila kujibakiza ya waamini wake.
kwa hali hiyo,
inasemekana muungwana yupo hali mbaya kiuchumi. Pension ya ubunge imeishia kwenye madeni tu.
Unamshauri nini huyu muungwana?
Mungu Ibariki Tanzania.
mbona hata Samia anategemea kodi zetu ili aishiWalinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao.
Kumbuka mapato ya bishop Gwajima yalitegemea zaidi sadaka na matoleo ya bila kujibakiza ya waamini wake.
Kwa hali hiyo, inasemekana muungwana yupo hali mbaya kiuchumi. Pension ya ubunge imeishia kwenye madeni tu.
Unamshauri nini huyu muungwana?
Mungu Ibariki Tanzania.
Hiyo hoja yako Ina mchango gani zaidi ya kebehi na dhihaka?Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao.
Kumbuka mapato ya bishop Gwajima yalitegemea zaidi sadaka na matoleo ya bila kujibakiza ya waamini wake.
Kwa hali hiyo, inasemekana muungwana yupo hali mbaya kiuchumi. Pension ya ubunge imeishia kwenye madeni tu.
Unamshauri nini huyu muungwana?
Mungu Ibariki Tanzania.
Kwann Kanisa lilindwe na Vibinadamu kwani. Ilo. KANISA la Mungu au Binadamu!!?????Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao.
Kumbuka mapato ya bishop Gwajima yalitegemea zaidi sadaka na matoleo ya bila kujibakiza ya waamini wake.
Kwa hali hiyo, inasemekana muungwana yupo hali mbaya kiuchumi. Pension ya ubunge imeishia kwenye madeni tu.
Unamshauri nini huyu muungwana?
Mungu Ibariki Tanzania.
Apige magoti ??!Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao.
Kumbuka mapato ya bishop Gwajima yalitegemea zaidi sadaka na matoleo ya bila kujibakiza ya waamini wake.
Kwa hali hiyo, inasemekana muungwana yupo hali mbaya kiuchumi. Pension ya ubunge imeishia kwenye madeni tu.
Unamshauri nini huyu muungwana?
Mungu Ibariki Tanzania.
Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao.