S skinless Member Joined Aug 16, 2023 Posts 72 Reaction score 112 Apr 19, 2025 #1 Natafuta kampuni inayotoa huduma ya kuconnect internet ambayo inafanya nje kidogo ya mji, ttcl imeshindikana
Natafuta kampuni inayotoa huduma ya kuconnect internet ambayo inafanya nje kidogo ya mji, ttcl imeshindikana
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,287 Reaction score 24,740 Apr 19, 2025 #2 skinless said: Natafuta kampuni inayotoa huduma ya kuconnect internet ambayo inafanya nje kidogo ya mji, ttcl imeshindikana Click to expand... Taja maeneo mkoa husika....mko wangapi mtaoweza connect ? Na share cost hizo???
skinless said: Natafuta kampuni inayotoa huduma ya kuconnect internet ambayo inafanya nje kidogo ya mji, ttcl imeshindikana Click to expand... Taja maeneo mkoa husika....mko wangapi mtaoweza connect ? Na share cost hizo???
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,268 Reaction score 44,399 Apr 19, 2025 #3 skinless said: Natafuta kampuni inayotoa huduma ya kuconnect internet ambayo inafanya nje kidogo ya mji, ttcl imeshindikana Click to expand... Kampuni zote zinapeleka popote fiber, ila kuleta fiber sehemu ambayo haina watu gharama zake mtu wa kawaida hawezi afford. Watakuwa quote milioni 600 ama Bilioni kadhaa kama ni nje ya mji. Kama upo nje ya mji hangaika tu na kina Airtel, Tigo na Voda
skinless said: Natafuta kampuni inayotoa huduma ya kuconnect internet ambayo inafanya nje kidogo ya mji, ttcl imeshindikana Click to expand... Kampuni zote zinapeleka popote fiber, ila kuleta fiber sehemu ambayo haina watu gharama zake mtu wa kawaida hawezi afford. Watakuwa quote milioni 600 ama Bilioni kadhaa kama ni nje ya mji. Kama upo nje ya mji hangaika tu na kina Airtel, Tigo na Voda