Huduma za Fibre nje ya mji

Huduma za Fibre nje ya mji

skinless

Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
68
Reaction score
107
Natafuta kampuni inayotoa huduma ya kuconnect internet ambayo inafanya nje kidogo ya mji, ttcl imeshindikana
 
Natafuta kampuni inayotoa huduma ya kuconnect internet ambayo inafanya nje kidogo ya mji, ttcl imeshindikana
Taja maeneo mkoa husika....mko wangapi mtaoweza connect ? Na share cost hizo???
 
Natafuta kampuni inayotoa huduma ya kuconnect internet ambayo inafanya nje kidogo ya mji, ttcl imeshindikana
Kampuni zote zinapeleka popote fiber, ila kuleta fiber sehemu ambayo haina watu gharama zake mtu wa kawaida hawezi afford. Watakuwa quote milioni 600 ama Bilioni kadhaa kama ni nje ya mji.

Kama upo nje ya mji hangaika tu na kina Airtel, Tigo na Voda
 
Back
Top Bottom