Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,337
- 2,907
Kuna kipeperushi nimekipata kimeandikwa b-pesa ila hakikuwa na details nyingi. Kiliandikwa NOW ACCEPTED MORE THAN 1800 LOCATIONS na kuorodhesha maeneo ambayo machine zao zinatoa huduma. Nimachind ndogo kama zile za Maxmalipo ila zinatumia Smartcard. Tafadhali wale ambao wanatumia huduma hii au wahusika wa huduma hii watoe ufafanuzi kuhusu huduma hii.