Huduma ya Usafiri - Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huduma ya Usafiri - Dodoma

Discussion in 'Matangazo madogo' started by HAKUNA, Apr 14, 2012.

 1. H

  HAKUNA Senior Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ikiwa uko/utakuja Dodoma katika shughuli binafsi/kikazi na unahitaji usafiri katika shughuli/kazi zako. Jibu lako....!!!
  hire a car.png
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kaka gumashi au imesajiliwa?
  Na unaruhusu self driver mpaka arusha?
  Kama ndiyo nikutwangie mgeni wangu akifika?
   
 3. H

  HAKUNA Senior Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ringo - Haturuhusu self driving kwa sasa, hilo ni moja kati ya malengo ya baadae. Kwasasa tunatoa huduma ndani ya Dom tu.
   
 4. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  perfect ideas, nimeipenda
  na nitawapigia debe, kikubwa zaidi nitakuwa salama na gari ya kampuni lakini tax mmmmmh. roho juu juu
   
 5. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  30,000 ni bei ya siku mzima?
   
Loading...