Huduma ya micro sim cards

Huduma ya micro sim cards

Joined
Jul 16, 2012
Posts
251
Reaction score
439
Ninataka kutengeneza micro SIM card kwa ajili ya laini ya Airtel. Wapi huduma hii inapatikana na gharama zake zikoje? Ahsante.
 
Ninataka kutengeneza micro SIM card kwa ajili ya laini ya Airtel. Wapi huduma hii inapatikana na gharama zake zikoje? Ahsante.

Nenda maduka ya Vodacom, Airtel, TiGo au Zantel wana kata kwa Tsh.2,000/=
 
Hapa Arusha nenda kwa jamaa mmoja anauza simu original aliyeko karibu na AA computers ukitoka kanisa la KKKT mjini kati kuelekea round about ya kwa DC
 
Nashukuru kwa michango! Nilienda Airtel JM Mall wakataka kujichaji Tsh 30,000. Nikaacha. Nikatoka nikaenda Sapna wakanichaji 10,000 ila sikupenda jinsi walivyokata ile chip. Baadaye niliamua kwenda Airtel makao makuu ambapo walinitengenezea chip mpya kwa Tsh 500.
 
Kaka just tafuta mtu mwenye micro sim card,,iweke juu ya line yako then tumia mkasi kuifuatilia jinsi ya kuikata,,problem solved no need ya kutumia ela
 
Kkoo pale aggrey street wanapouza simu na accesories zake wanakata kwa sh 3000 na wengi wana hiyo mikasi
 
Kweli huko kwenu kila kitu hela, mi yangu nilikata buuuure!
 
Kaka just tafuta mtu mwenye micro sim card,,iweke juu ya line yako then tumia mkasi kuifuatilia jinsi ya kuikata,,problem solved no need ya kutumia ela

safi sana. Hii haina kona.
 
samahani wadau, naombeni kujua hiyo micro simcard inafanya kazi kwa style gani?
 
samahani wadau, naombeni kujua hiyo micro simcard inafanya kazi kwa style gani?

Ni line ya simu kama line zingine isipokuwa ni ndogo na inatumika mahususi kwa smart phone nyingi zinazotoka sasa kama galaxy S3 na pia blackberry Z 10.
 
Back
Top Bottom