Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Assalam Alaykum wana Jamiiforums. Nilikuwa nasikia huyu mdudu Tandu ana sumu kali akikuuma lazima kamasi likutoke kwa uchungu wa maumivu. Leo yamenikuta huyu mdudu ameniuma, lakini nimefanikiwa kumuua. Sasa ninapata maumivu makali mno, nahitaji huduma ya kwanza kwa mtu aliyeumwa na Tandu anatakiwa kufanya nini? Asanteni.