huduma ya kisheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huduma ya kisheria

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kuku wa Kabanga, Feb 28, 2012.

 1. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  habari zenu wanaJF
  Naomba kwa anayejua gharama wanazochaji wanasheria kuandika resolution za makampuni anijuze tafadhali.
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wewe unahitaji Board Resolution inayohusu nini? Toa maelezo usaidiwe
   
 3. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  nataka ya kubadili jina la kampuni.
   
 4. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  [FONT=&amp]Hii inabidi iwe special resolution kwa mujibu wa kifungu namba 31 (1) cha sheria ya makampuni. [/FONT]
  [FONT=&amp]But kwa nini mnabadili jina? Kama unahitaji msaada wa suala hili basi nitumie information hizi kwenye inbox yangu, nitakusaidia bure, but gharama ya BRELA ni Tsh. 15,000/=.
  1. Jina la kampuni linalotumika sasa, na jina jipya la kampuni mnalotaka kulitumia
  2. Kikao cha Board kilifanyika lini, wapi na tarehe ngapi? Waliohudhuria, pamoja na mambo mliyokubaliana
  Uwe huru kutumia fictitious names (for security reasons) halafu utaedit nikishakutumia.[/FONT]
   
 5. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  mkuu nashukuru kwa utayari wako katika kunisaidia,lakini nashukuru kukuarifu kuwa nimeshapata mtu mwingine na tayari kazi imeanza.
   
 6. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,860
  Likes Received: 2,783
  Trophy Points: 280
  JF ni zaidi ya msaada. Yaani jamaa wanajitolea kufanya kazi bure kabisa! Hii ni kali.
   
Loading...