yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,779
- 1,227
Kwa wenye ufahamu na hili suala naomba anisaidie, je kuna uwezekano wa kupata aces ya internet kupitia mitandao ya tigo au voda ukiwa nje ya nchi? na gharama zake inakuwaje?
Kwa hapa nilipo nimejaribu kuweka line yangu ya voda imesoma mtandao japo ina-share na mtn na huduma zote za menu inaleta kama kawaida
kingine nilichogundua ni kuwa kwa tz gharama zina nafuu sana ukilinganisha na wenzetu wa zambia, malawi au msumbiji. Nimenunua kifurushi cha kama elfu 5 nimepewa limit ya dakika 60 na 200 mb ndio maana nimekumba nyumbani.