Huduma ya guest hotel. #olasit house#

maridad

Member
Dec 30, 2015
14
2
Natoa huduma ya accomodation.jina la hotel ni olasit house. Tupo arusha maeneo ya mbauda kerai kituo cha buchadi.
Vyumba vyetu ni vya kisasa vyenye maji ya moto. Kitanda cha chuma. Tv flat screen iliyounganishwa na dstv packages.
Bei zetu ni sh 25000 including breakfast.
Nicheki kwa 0652812718 kama una kikao arusha au shuguli yeyote itakayochukua muda mrefu usisite kunicheki ninayo packages ya wateja wanaokaa muda mrefu kwa shuguli tofauti arusha
 

Attachments

  • 1452364529647.jpg
    1452364529647.jpg
    79.1 KB · Views: 40
  • 1452364571329.jpg
    1452364571329.jpg
    56.6 KB · Views: 35
  • 1452364636046.jpg
    1452364636046.jpg
    37.4 KB · Views: 41
Back
Top Bottom