Huduma ya Google Play Store inarudi kwenye simu za Huawei

Huduma ya Google Play Store inarudi kwenye simu za Huawei

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250812_085521_0000.png

๐Ÿ—ฏ๏ธ Hii ni habari njema kwa wale wapenzi wa simu za Huawei hatimaye, Google wanarudisha huduma ya Playstore kwenye simu za Huawei kuanzia mwezi ujao.

๐Ÿ—ฏ๏ธ Google inarejesha huduma zake mbalimbali kwenye vifaa vya kichina Huawei ambapo picha mbalimbali zilionyesha habari hii njema.watumiaji wa vifaa vya kichina wataweza kupata huduma mbalimbali za Google kwenye vifaa vyao kuanzia septemba 1 mwaka huu.

2_20250812_085522_0001.png

๐Ÿš€ Huduma zote za Google zitapatikana kuanzia Google play services, Playstore, Google Searches, YouTube, Gmail, Google drives na nk ambapo vifaa vya kichina vitaweza kupata huduma sawa za bidhaa za Teknolojia kama mataifa mengine.

3_20250812_085522_0002.png

๐Ÿ—ฏ๏ธ Hakuna Mabadiliko yoyote ya jina kwani bado jina litasalia lile lile by default kuwa Google โœ…. Mwaka 2019 Gms iliweza kufunga huduma zake Kwenye vifaa vya kichina lakini mwaka huu 2025 wanarudisha tena.

๐Ÿ—ฏ๏ธ Kwa miaka yote Watumiaji wa Huawei walikua wanatumia mfumo wa HarmonyOS pekee kwa ajili ya apps na services zingine, apps za Google zilikua zimefungwa kutumika kwenye vifaa vya kichina lakini sasa vitaanza kupatikana kuanzia septemba 1 2025.
 
Mkuu p30 haisumbui ishu za ios na installation zote za google?
Haisumbui.
Ni toleo la mwisho la Huawei kuwa na play store. Zilizofuata kuanzia P40 hazina, wanatumia Huawei AppGallery.
 
Back
Top Bottom