Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,795
- 6,443
Ni wazo zuri. Lakini nadhani pia tuwekeze zaidi kwenye kinga kama tunavyofanya kwenye tiba. Sababu za ugonjwa wa figo zInafahamika na tafiti nyingi sana zinafanywa kwenye eneo hilo. Tuamue sasa kupambana dhidi ya magonjwa yasio ambukiza kwa maana ya kisukari, shinikizo la juu la damu, tuache tabia bwete, tupunguze matumizi ya bidhaa za viwandani na pombe za vichochoroni. Ni bora tukose kodi ila taifa liwe lenye afya.