Huduma ya dialysis kuwa bure

Huduma ya dialysis kuwa bure

Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha huduma ya dialysis inakua bure
View attachment 3325216
Badala ya kusema utapambana kuondoa risk factors zinazoleta figo kushindwa kama unywaji WA pombe kali uliopitiliza (kwa kuwa na sera nzuri za matumizi ya vileo) wewe unataka uwanufaishe wahindi watakaoweka mashine kila mtaa. Hufai kuwa Rais
 
Ni jambo jema sana, na ukiwa na nia njema kama hii Mwenyezi Mungu anaweza kukubaliki na kukuweka mahala.

Ila wakati huu kabla hujawa Rais ni vyema tukapambana kwa pamoja wenye dhamira njema kuhakikisha mambo yanakaa sawa.
 
Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha huduma ya dialysis inakua bure
View attachment 3325216
Kuwa bure ni vyema ika kuna mambo hayatakiwi kuwa bure mfano dawa za HIV zilitakiwa kuuzwa dozi ya mwezi japo sh20000 hii ingepunguza kabisa maambukizi kwa asilimia 70 %..lengo ovu la kutoa dawa za HIV bure ni kufanikisha kusambaa kwa ukimwi hovyo
 
Badala ya kusema utapambana kuondoa risk factors zinazoleta figo kushindwa kama unywaji WA pombe kali uliopitiliza (kwa kuwa na sera nzuri za matumizi ya vileo) wewe unataka uwanufaishe wahindi watakaoweka mashine kila mtaa. Hufai kuwa Rais
Kuna watu wengi Figo zimekufa na hawana historia ya kunywa pombe
Mtu ambaye anasumbuliwa na autoimmune huyu yupo kwenye hatari ya Figo kufa
 
Kuna watu wengi Figo zimekufa na hawana historia ya kunywa pombe
Mtu ambaye anasumbuliwa na autoimmune huyu yupo kwenye hatari ya Figo kufa
Ni kweli kabisa unavyosema. Tukiondoa risk factors tutabakiwa na wagonjwa wachache ambao hawatatulazimu kuanzisha dialysis centres kila mtaa. Hao wachache watatokana na autoimmune diseases and other unpreventable disorders. Tuchukue hatua
 
Mfano mashine moja ya dialysis ni sh 200,000,000 haya ni makadirio
200,000,000 × 184= 36,000,000,000
(184 ni jumla ya wilaya zote zilizopo Tanzania) ukizidisha mara mbili ni sh billion 72,000,000,000 kila wilaya inaweza ikawa na mashine mbili za dialysis na watu wakapata huduma bure
 
Ukiwa maskini au unakipato kidogo Figo zako zikifa hutaweza kumudu gharama za sasa za dialysis
 
Back
Top Bottom