Traveller TM Senior Member Joined May 6, 2024 Posts 129 Reaction score 228 Aug 6, 2024 #1 Wakuu, Nimetembelea stores kadhaa za Airtel ku acces huduma ya esim bila mafanikio yoyote yale, Inashangaza hata Matawi makubwa kama Mlimani City nako hakuna huduma ya esim kabisa Airtel Tanzania
Wakuu, Nimetembelea stores kadhaa za Airtel ku acces huduma ya esim bila mafanikio yoyote yale, Inashangaza hata Matawi makubwa kama Mlimani City nako hakuna huduma ya esim kabisa Airtel Tanzania