Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Salamu mkuu,
HONGERA sana kwa kufanya hii huduma, maana umeisogeza kwa watu Hasa wasioweza lipia Moja kwa Moja kwa wahusika wanao unlock,

NOTES:
naona ujatoa WARNING kwa watu ambao wanataka ku unlock iPhone zao ina case FIND MY PHONE IKIWA ON, nivyema ili ukaliweka wazi kwenye MAIN post utakujalaumiwa hawa sio muda, maana iPhone zina masharti maalumu ku unlock,
Again HONGERA kwa kuiona hii huduma kitofauti,

Simu yangu ni Samsung SoftBank 730sc Imei 35540002066981/1 line moja na line zote ni locked nipe Bei
 
iPhone 3gs ios 6.1.6, bb 06.15.00 baada ya ku update na jailbreak still inatatizo la NO SERVICE/SEARCHING.....
Ni hudumie
 
Simu yangu ni Samsung SoftBank 730sc Imei 35540002066981/1 line moja na line zote ni locked nipe Bei

~ Sorry ndugu
~ Hii simu haipo kwenye database yetu. Haitowezekana
~Karibu
 
Mi naomba kukuuliza mwl mwenzangu kuwa hivi simu ikiwa ime lokiwa iwe kwa password/pin au hata kwa network fulani, je ukii flash simu hiyo si utakuwa umeondoa lock zote zilizowekwa katika hiyo simu, ziwe za password au zanetwork??
 
Hapana haiwezekani.
 
Mwl mimi nipo nzega kuna mdada mmoja jana alikuwa na simu ya huawei ascend y 330 ila imelokiwa ktika mtandao wa tigo yaani ukiweka laini tofauti na tigo inakuambia uweke unlok me sim code. Tulikuwa tunajadiliana tufanyaje, sasa ni bei gani ku unlock hiyo simu ili nikamwambie
 
  • Tsh 25'000, Karibu
 
Mkuu fanya Offer kwangu, sina ela Kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ