> Watu gani hao?Watu kama hawa ndio wanaendeleza wizi
> Huu uzi hauhusiki na simu iliyojilock wala ku_lockiwa halafu ikaibiwahakuna simu iliyojilock zaidi ya kulockiwa na mwenyewe halafu ikaibiwa.
> Rejea tena dhumuni la huu uziTujenge utamaduni wa kununua simu madukani na sio simu za wizi.
Watu kama hawa ndio wanaendeleza wizi,hakuna simu iliyojilock zaidi ya kulockiwa na mwenyewe halafu ikaibiwa.Tujenge utamaduni wa kununua simu madukani na sio simu za wizi.
# cost yake ni tsh 18'500
# network unlock code utazipata ndani ya saa 24
# karibu sana
- Ndugu jumannezakayo ingekuwa vyema ukaanzisha uzi wakwako unaojitegemea kuhusiana nahuduma zako.
- Ni vyema kutumia haya majukwaa kama ilivyo kusudiwa.
- Bilashaka unenielewa
- Karibu
Mkuu Mwl.RCT nilishakupa imei yangu siku nyingi vipi?
hii hapa
355972050310763
ilikuwa inatumia mtandao wa t mobile huko USA
Karibu
Mwl. RCT hii huduma inahusisha na iphone?
Sasa hii iphone mkuu iTune iko locked hakuna namna ya ku bypass hizo p/w?# Hata iphone yaweza kufanyiwa kazi
# Angalizo: Laima uwe na valid login info za iTune
# Sababu unlock codes zake huja kama update kupitia iTune
# Yaani uki connect simu kwa PC na uka_login in katika account automatic Update itajitokeza na baada ya ku_accept hiyo update unakuwa tayari ume_unlock simu yako ya iPhone
#Huchukua wiki 3 hadi 4 kupata unlock codes za iPhone toka kwenye servers za apple.
KARIBU