Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Ata cjui mtandao upi but inaandika tu offline ukieka na ata usipoeka sim card...inafanya kila kitu but kupiga aikubali...wala meseji kutuma...inshort sim card ata nkieka inakua aifany kaz
 
vp huduma bado zipo nina lumia 630 network locked nimekupm imei mkuu
 
mmm sitaki kuongelea hili swala la imei kwani nalijua vizuri sana wewe ni kupokea ushauri tu
nitapokea vipi ushauri bila kuambiwa madhara yake mkuu maana nijuavyo imei ni utambulisho wa simu tu je kuna kingine zaidi
kutambulika kwa simu yako ndo iwe shida?
 
Mwl.RCT naweza pata codes za kuunlock hizi router za smile?
 
nitapokea vipi ushauri bila kuambiwa madhara yake mkuu maana nijuavyo imei ni utambulisho wa simu tu je kuna kingine zaidi
kutambulika kwa simu yako ndo iwe shida?
nitapokea vipi ushauri bila kuambiwa madhara yake mkuu maana nijuavyo imei ni utambulisho wa simu tu je kuna kingine zaidi
kutambulika kwa simu yako ndo iwe shida?
Kwenye jumua huwezi kukomesha wizi bali kupunguza (you can not stop stealing but control) mimi ni mudau wa kutengeneza simu sitaki kuzama zaidi kwenye hili kwakuwa litanighalimu
 
oh hapo nimekuelewa mkuu mimi nilidhani kwa staili waliyoleta TCRA kuzifungia simu zenye copy of imei haiwezekani simu moja kuwa na imei tofauti but nimekuelewa kwa kufocus soko la nje labda ambako fyekeo bado
 
Mkuu una unlock Pantech?
 
Wakuu naombeni msaada, nina simu yangu Samsung Grand prime plus huwa inaji run yenyewe ..yani kwa mfano nikiandika text kabla sijamaliza ile text inajituma yenyewe. Huwa inasababishwa na nin? Naombeni msaada wakuu
 
Pole
Pengine inaweza kua virus japo sina uhakika ila kwa Huduma ya kwanza fanya restore(phone reset) ikiendelea kuumwa ndo utafute msaada zaidi kwa mafundi
 
Mkuu, simu yangu imepoteza ime number …natumia huawei
p6 utanisaidiaje?
 
habari
Ingia youtube kisha search GENERIC IMEI REPAIR SOLUTION"
Fuatisha maelekezo na utafanikiwa kurekebisha
 
Nmeshaenda kote huko, shida inakuja kwenye kuconnect na computer kuna app inabid niwe nayo …inauzwa $200, nilikwamia hapa
 
Mkuu msaada wa unlocking modem model ZTE MF 671
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…