Uchungu wa Lift Co. Ltd inayo furaha kuwatangazia wananchi wote watakaorubuniwa na kudandia lift kuja CHADEMA Square kuwa tutatoa huduma zifuatazo:
1. Maelekezo ya kulijua Jiji
2. Matangazo ya kuwaunganisha watakaopoteana na watoto na jamaa zao
3. Usafiri wa kurudi nyumbani kwa gharama zako mwenyewe
Tahadhari:
Kama ulikula, ukanywa bure na kuvimbewa; haja ndogo na kubwa mjini zinalipiwa. Hakuna mlo wa mchana wa bure dunia y leo!
Karibuni sana kulijua Jiji.