HALOTEL VAS
JF-Expert Member
- Apr 7, 2016
- 276
- 37
- Thread starter
-
- #241
Limtandao lenu siku hizi la ajabu ajabu ajabuuuuuu, najuta kuharibu laini yangu ya voda kwajili yenuView attachment 420360
UTANGULIZI
Hadithi za Ajabu ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kufurahia hadithi mbalimbali nzuri za kushangaza,kusimumua na kukufahamisha mambo mbalimbali yanayotea ulimwenguni.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
Kujiunga na Huduma:
-Tuma AJABU kwenda 15608
FAIDA ZA HUDUMA
-Huduma inampa mteja nafasi ya kupata kujua matukio mbalimbali.
-Huduma inampa mteja nafasi ya kufurahia pamoja na mafunzo ndani yake.
GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh.80/Siku
JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram:vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
ahhaah awamu ya kubana matumizi kisha kuvaa miwani yenye lenzi nzito na kuanza kuisoma nambaLimtandao lenu siku hizi la ajabu ajabu ajabuuuuuu, najuta kuharibu laini yangu ya voda kwajili yenu
Shenzi
Huko kujiondoa mbona kunagoma?View attachment 421525
Cheza, burudika, Jifunze na Ujishindie zawadi nyingi za thamani kutoka katika Huduma ya Halo Quiz
-Piga 0901220 1111 na Ujiunge bure kwa mara ya Kwanza
-Jiunge na timu ya Halo quiz ujifunze, uburudike na Ujishindie Zawadi nyingi za Thamani
-Gharama za kujiunga na huduma ni Tsh 100/kwa kila mara 2 za kucheza Halo Quiz
UTANGULIZI
HALO QUIZ ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kushinda zawadi nyingi. Kwa kujibu idadi ya maswali kadhaa kwa usahihi kwa muda mchache.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujisajili: Mteja wa HALOTEL anaweza kujiunga na kuanza kutumia huduma hii nzuri kwa kupiga 0901221111.
-Mtumiaji atapokea taarifa ya ujumbe wa kufanikiwa kusajili huduma na kupewa nafasi ya kucheza HALO QUIZ.
-Kisha mtumiaji ana nafasi ya kuchagua kifurushi cha maswali na kuanza kujibu maswali.
-Huduma ina vifurushi 3 vya maswali
-Kifurushi cha maswali kumi: Maswali 10; Zawadi: Tsh 2,000
-Kifurushi cha maswali ishirini: Maswali 20; Zawadi: Tsh 4,000
-Kifurushi cha maswali thelathini: Maswali 30; Zawadi: Tsh 8,000
GHARAMA ZA HUDUMA
-Gharama za huduma ni Tsh100 kwa siku. Baada ya kujiunga utapata nafasi mbili za kucheza HALO QUIZ bure.
-Kisha mtumiaji atapaswa kulipia Tsh.100 kwa kila nafasi mbili za ziada kucheza HALO QUIZ.
JIUNGE NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
Instagram: vas_halotel
JamiiForums: HALOTEL VAS
Piga hiyo namba sikiliza maelezo bonyeza moja kujiunga kisha utasikiliza tena kusitishaHuko kujiondoa mbona kunagoma?
Mtandao internet ina sumbua sanaView attachment 425728
Vumbua Ulimwengu Mpya wa Huduma za Ziada na Uzijue Huduma hizo Kutoka Halotel.
-Sasa Pata Orodha ya aina za Huduma Mbalimbali kama vile:
· Huduma za halotel
· Halo Beatz
· Huduma za Michezo ya Bahati
· Huduma za Habari za Moja Kwa Moja
· Huduma za Jamii
· Huduma za Manufaa.
kwa Kupiga *149*64#.
-Chagua , Jiunge na Furahia Wakati Wowote Ukiwa na Halotel Leo
TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: http://www.facebook.com/Vashalotel
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
Habari,samahani tunaomba kujua unapatikana maeneo ganiMtandao internet ina sumbua sana
Mnakera kwa kweli
Nimechelewa kukujibu kwa kuwa mtandao ulikuwa unazinguaHabari,samahani tunaomba kujua unapatikana maeneo gani