Siku hizi mna Speed ndogo nimeshindwa Ku stream mpira Jana Mnazingua sana aisee.View attachment 400515
UTANGULIZI.
HALO MOVIE ni huduma ya filamu kwenye mtandao inayokupa filamu za kipekee za nyumbani na kimataifa kwenye muonekana wa HD kupitia simu yako au tablet. Unaweza kutazama filamu mpya za kuvutia za ndani na zile za kimataifa.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Jisajili na huduma kwa kutembelea kiungo hiki http://halomovie.co.tz/.
GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha wiki: Tsh 600; Pata filamu 4 bure.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 2,000;Pata filamu 15 bure.
-Hitaji filamu: Tsh 300/Filamu.
-Gharama za Data: Bure
JIUNGE NASI
Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram:vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
Acheni kuibia watu MBView attachment 403746
UTANGULIZI
MIDUNDO ni huduma ya muziki inayompa mtumiaji nafasi ya kufurahia nyimbo kwenye simu ya mkononi muda wowote na mahali popote zikiwemo video, miziki, albamu, miito, milio pamoja na picha.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA:
Kusajili
Kifurushi cha siku: Piga *15574*1# au tuma ON1 au MI kwenda 15574
Kifurushi cha mwezi 😛iga *15574*7# au tuma ON7 au M7 kwenda 15574
Unaweza kupata huduma ya midundo kwa kutembelea www.midundo.co.tz
FAIDA ZA HUDUMA:
Huduma inawawezesha watumiaji wa HALOTEL kufurahia miziki mbalimbali mizuri kutoka sehemu mbalimbali muda wowote na popote.
GHARAMA ZA HUDUMA
Gharama za kifurushi
Kifurushi cha Siku: Tsh 60
Kifurushi cha wiki: 300 Tsh
Kupakua:
Wimbo: Tsh.300
Mlio: Tsh.150
Muito: Tsh.400
JIUNGE NASI
Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
Nahitaji modem, napataje?Modem tunauza kwa Tsh.35000 tu
Umepata wapi modem yao?
Speedtest yangu ya Halotel Leo Daaa!! jamaa wameingia 4G nini?
Umepata wapi modem yao?
Ndugu mteja Modem kwa sasa zimeisha nafikiri punde zitakuja na utaweza kupata katika maduka yetu kwa Ts.35000 tu.AhsanteUmepata wapi modem yao?
Zitakuja lini mkuu? Nimesubiri sana duu....Ndugu mteja Modem kwa sasa zimeisha nafikiri punde zitakuja na utaweza kupata katika maduka yetu kwa Ts.35000 tu.Ahsante