Huduma muhimu

Bahati furaha

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
3,054
1,415
Umofia kwenu 'Igwe(s)'.

Kupanga ni kuchagua. Mazoea pamoja na uvivu wa kufikiri unamfanya mtu awe mtumwa wa kitu fulani. Zamani tulikuwa na kampuni moja peke yake la mafuta likiitwa SHELL (SHELL OIL), na kwa mazoea tu hadi leo hii watu wanaviita vituo vya mafuta Sheli.
Hebu sasa jaribu kufanya ku-(compare na contrast) endapo kama watu wawili tumeingia soko la mawasiliano na bidhaa zetu. Mtu wa kwanza tumpe jina la VODKA na mtu wa pili tumpe jina la HOTELI.
Mwangalie kila mmoja katika:
1. Uwezo wa kufikisha bidhaa sokoni.
2. Uwezo wa kufikia idadi ya wateja endapo wakiongezeka ghafla na kuwatosheleza.
3. Bei ya bidhaa kwa mteja.
4. Huduma kwa mteja kwa hawa watu wawili.
5. Utoshelezi kwa mteja (customer satisfaction
Mwisho kabisa, ukiwa kama mfanyabiashara mdogo chagua mtu wa kufanya biashara kati yao.



Note: 1) Ratio imetumika kwa Talktime/minute ikiwa kwa mteja wa kawaida kabisa asiyehitaji baadhi
ya vikorombwezo.
2) Wote wawili (VODKA na HOTELI) wanatoa hiyo kwa mtandao wowote.


VIFURUSHI VYA SIKU
TALKTIME/MINUTE
VODKA
500
Dk 6
40sms
1Mb
83.00shs
HOTELI
600
Dk 12
500sms
5Mb
50.00shs
VODKA
650
Dk 10
100sms
3Mb
65.00shs
HOTELI
700
Dk 19
1000sms
8Mb
36.84shs
VIFURUSHI VYA WIKI
VODKA
2000
Dk 26
300sms
30Mb
76.92shs
HOTELI
2000
Dk 30
300sms
60Mb
66.67shs
VODKA
5000
Dk 80
1000sms
60Mb
62.50shs
HOTELI
4000
Dk 100
1000sms
60Mb
40.00shs
VODKA
10000
Dk 180
2500sms
60Mb
55.56shs
HOTELI
10000
Dk 200
1000sms
60Mb
50.00shs
VIFURUSHI VYA MWEZI
VODKA
10000
Dk 130
1500sms
50Mb
76.92shs
HOTELI
10000
Dk 160
1500sms
80Mb
62.5shs
VODKA
15000
Dk 230
2500sms
250Mb
65.22shs
HOTELI
15000
Dk 300
2500sms
300Mb
50.00shs
VODKA
20000
Dk 350
3500sms
250Mb
57.14shs
HOTELI
20000
Dk 400
3500sms
300Mb
50.00shs

 
Back
Top Bottom