moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,303
- 1,530
Nimekuja kupata huduma ya matibabu yapata saa 2:30 asubuh, kandikishw mapokezi nimetuia zaidi ya nusu saa, nafika kwenye kumwona daktari kuna foleni ya wagonjwa zaidi ya 20 na daktari yupo mmoja, mabench ya kukaa hayatoshi, nimesimama zaidiya dk 40. bado naifikiria foleni ya maabara na pharmacy, halaf hakuna msimamiz wa hiki kituo anayejali, najuuta kuja hapa! nilidhan hapa ningepata huduma haraka na kuwah kaz zangu