Huduma mbalimbali

Edinam

Member
Aug 13, 2017
97
38
Tunatoa huduma za Chakula, Mapambo, Keki, Mc na Muziki ,viti vya kisasa na cover zake pamoja na meza, maturubai kwenye sherehe mbalimbali, harusi,sendoff, kitchen party, kipaimara, ubarikio, graduations,makanisani, misiba nk. Pia tunatoa huduma ya mashela ya harusi kununua au kukodi.
Bei ya chakula buffet ni kuanzia Tshs 7,000/-20,000/- kutegemea na menu unayochagua- Mapambo yanaanzia Tshs 400,000/- hadi 10,000,000/- kutegemeana na aina ya mapambo unayoyahitaji.
Keki inaanzia 300,000/- hadi 1,200,000/-inategemeana na aina ya keki unayohitaji.Keki moja moja bei ni kuanzia 20,000/- 30,000/- n.k
Mashela tunauza 400,000/-, 500,000/- na 600,000/- Tunakodisha kwa Tshs 200,000/-
Viti 10 na meza(mzunguko) ni Tshs 15,000/-
Mc na muziki 700,000/-
Turubai moja la msonge ni 120,000/-
Tunapatikana DSM ukonga, Kinyerezi, sabasaba Pugu na mikocheni.
KARIBU TUKUHUDUMIE.
Kwa maelezo zaidi pamoja na picha nyingine nyingi tupigie: 0717441943/0742221698: Whatsapp no: 0742221698: E-mail, augo20032000@gmail.com
 
Attachments

  • IMG-20170814-WA0005.jpg
    IMG-20170814-WA0005.jpg
    44.5 KB · Views: 102
  • IMG-20170814-WA0006.jpg
    IMG-20170814-WA0006.jpg
    82 KB · Views: 72
  • IMG-20170814-WA0007.jpg
    IMG-20170814-WA0007.jpg
    66.8 KB · Views: 73
  • IMG-20170814-WA0001.jpg
    IMG-20170814-WA0001.jpg
    34.6 KB · Views: 55
  • IMG-20170814-WA0003.jpg
    IMG-20170814-WA0003.jpg
    5.8 KB · Views: 98
  • IMG-20170814-WA0008.jpg
    IMG-20170814-WA0008.jpg
    31.5 KB · Views: 60
  • IMG-20170814-WA0012.jpg
    IMG-20170814-WA0012.jpg
    36.5 KB · Views: 54
  • IMG-20170814-WA0014.jpg
    IMG-20170814-WA0014.jpg
    77.8 KB · Views: 51
  • IMG-20170814-WA0016.jpg
    IMG-20170814-WA0016.jpg
    29.8 KB · Views: 49
Karibuni Jamani huduma bado zinapatikana.Tena kuna punguzo, mashela yameshuka hadi 300,000/- kununua na 150,000/- kukodi.
Huduma nyingine pia maongezi yapo karibuni sana.
 
Tunatoa huduma za Chakula, Mapambo, Keki, Mc na Muziki ,viti vya kisasa na cover zake pamoja na meza, maturubai kwenye sherehe mbalimbali, harusi,sendoff, kitchen party, kipaimara, ubarikio, graduations,makanisani, misiba nk. Pia tunatoa huduma ya mashela ya harusi kununua au kukodi.
Bei ya chakula buffet ni kuanzia Tshs 7,000/-20,000/- kutegemea na menu unayochagua- Mapambo yanaanzia Tshs 400,000/- hadi 10,000,000/- kutegemeana na aina ya mapambo unayoyahitaji.
Keki inaanzia 300,000/- hadi 1,200,000/-inategemeana na aina ya keki unayohitaji.Keki moja moja bei ni kuanzia 20,000/- 30,000/- n.k
Mashela tunauza 400,000/-, 500,000/- na 600,000/- Tunakodisha kwa Tshs 200,000/-
Viti 10 na meza(mzunguko) ni Tshs 15,000/-
Mc na muziki 700,000/-
Turubai moja la msonge ni 120,000/-
Tunapatikana DSM ukonga, Kinyerezi, sabasaba Pugu na mikocheni.
KARIBU TUKUHUDUMIE.
Kwa maelezo zaidi pamoja na picha nyingine nyingi tupigie: 0717441943/0742221698: Whatsapp no: 0742221698: E-mail, augo20032000@gmail.com
Karibuni kwa huduma
 
Back
Top Bottom