JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,967
Watu wengi wamekuwa tatizo la uwezo wa kuzaa, hospital kipimo hiki kina gharama kubwa, kati ya 80,000 na laki 1 na bado si cha uhakika sana. Nimeamua kuja na njia mbadala, niandae sehemu maalamu na kuweka wanawake na wanaume waliothibitika kuzaa, basi kila mwenye tatizo atakuwa akipata doz mahususi, mimba ikishika basi inatolewa, je wazo hili laweza pata kibali toka katika mamraka za kiserekali?