Huduma kama za Sinza nazipata wapi Kimara

Mshikaji wako alibugi kutafuta Malaya permanent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe subir le mbabaz akusikie wata kuvideo alafu tuone kananiliu ka small poison[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwan mkuuu hyo jamaaaa akoo alikuwa akizamaa peku?bila soksii?
 
Alipima na alikutwa ameathirika jambo lililompelekea kushindwa kumaliza masomo.
Ilaa Mkuu kwa wanachuo mimi sishangai maana weng wao wakishapataa boom basi akili huwaruka nakuishiaa kufanyaaa mambo yaajabu sana
 
Nitatafuta muda mkuu nianzishe uzi maalumu wa kisa hiki na vingine tofauti kama sehemu ya mafunzo.
Kwahy yupo?au kashaendaa kwa maullana kitambo maana kwa stress hzo nahisi angejiuaa kwa mawazoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…