BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,838
mbezi zinapatikana sehem ganisubiri waje, mi mwenyeji Mbezi
Nenda Kez Pub kimara-kona wapo wamejaa tele....Pia mabahamedi wa Kingstone hapo kimara baruti wapo poa sana na pia wale wa pale Hawahii ... kazi kwako broWakuu,
Mimi ni mteja wa mkubwa wa Ambiance (Yale mambo yetu) maana sinza ndio makazi yangu makuu
Sasa siku hizi nakuwa nakosa nafasi kabisa ya kwenda kununua sinza kwakuwa nimekuja kimara kumuuguza bro angy, naomba kufaham kama kuna mahali huku maeneo ya kimara wanatoa huduma hiyo.
Asanteni wajuzi wa mambo
Nenda Kez Pub kimara-kona wapo wamejaa tele....Pia mabahamedi wa Kingstone hapo kimara baruti wapo poa sana na pia wale wa pale Hawahii ... kazi kwako bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitake hata kujua, hawa vijana wangu nina kazi ya kuwaombea.Nielewesheni mambo gani hayo anaongelea nimetoka jana nanjilinji kuja mjini.
Kwani haya mambo yana udalali tena?Aisee
Tafuta dalali
Mkuu nahitaj kujua mkuu jiji hili l darisalama hta nikirud nanjilinji nikapate vya kusimulia.Usitake hata kujua, hawa vijana wangu nina kazi ya kuwaombea.
Kaa zako utulie ukimaliza rudi zako nanjilinji ukaendelee na kilimo.
Karibu sana dasalama
Dah aisee pole sana.Ngoja nikupe fundisho kidogo. Wakati nipo chuo mwaka wa 2 nilikua na mshkaji wangu tulikua tukipata boom basi tunaenda hongera bar karibu na ambiance tunapata bia na mshkaji wangu anapata huduma ya ziada kama unayo hitaji wewe.
Siku moja tumeenda pale jamaa alikua anakula barmaid ilikua ni muda kidogo hatujaenda. Ile kufika hapo hatukumkuta yule barmaid jamaa akauliza kwa ma barmaid wengine vp yule demu yupo wapi? Akajibiwa amefariki mbona kama mwezi sasa. Jamaa akauliza tatizo lilikua nini? Akaambiwa mbona alikua muathirika kwa muda mrefu. Kilicho fuata baada ya hapo mshkaji wangu alichanganyikiwa kiasi kwamba hakumaliza kabisa chuo. Kila nikisikia hilo eneo naumia sana .
Nakushauri achana na huo mpango. Usije kujuta ndoto za mshkaji wangu zilipotea kirahisi. Sihitaji na wewe yakukute
Dah kweli mnanipa kazi ngumu ya kuwaombeaMkuu nahitaj kujua mkuu jiji hili l darisalama hta nikirud nanjilinji nikapate vya kusimulia.
alikuwa anaenda bila zana?Ngoja nikupe fundisho kidogo. Wakati nipo chuo mwaka wa 2 nilikua na mshkaji wangu tulikua tukipata boom basi tunaenda hongera bar karibu na ambiance tunapata bia na mshkaji wangu anapata huduma ya ziada kama unayo hitaji wewe.
Siku moja tumeenda pale jamaa alikua anakula barmaid ilikua ni muda kidogo hatujaenda. Ile kufika hapo hatukumkuta yule barmaid jamaa akauliza kwa ma barmaid wengine vp yule demu yupo wapi? Akajibiwa amefariki mbona kama mwezi sasa. Jamaa akauliza tatizo lilikua nini? Akaambiwa mbona alikua muathirika kwa muda mrefu. Kilicho fuata baada ya hapo mshkaji wangu alichanganyikiwa kiasi kwamba hakumaliza kabisa chuo. Kila nikisikia hilo eneo naumia sana .
Nakushauri achana na huo mpango. Usije kujuta ndoto za mshkaji wangu zilipotea kirahisi. Sihitaji na wewe yakukute
Kwanini alichanganyikiwa...alienda kupima.???.ckuhz mshkaji yupo wapiNgoja nikupe fundisho kidogo. Wakati nipo chuo mwaka wa 2 nilikua na mshkaji wangu tulikua tukipata boom basi tunaenda hongera bar karibu na ambiance tunapata bia na mshkaji wangu anapata huduma ya ziada kama unayo hitaji wewe.