Huduma internet mtandao wa airtel ZINATISHA!!!!

Huduma internet mtandao wa airtel ZINATISHA!!!!

Tumezoea huduma bora kwa airtel, lakin kuanzia juzi, huduma zao zimebadilika kimya kimya, ukienroll bundle ya Mb 75 kama tulivozoea unapata Mb 50, hiyo haikuwa shida sana kupandisha gharama, shida zaidi ni pale unapojiunga alafu bila kutumia hizo Mb na bila kufikia muda wake wa kuexpire zinaisha from no where! Inasikitisha sana cz tumeexperience hicho kitu toka juzi, na si mimi peke yangu.

TCRA wanafanya kazi gani?
 
jamani kuna kitu mimi sikielewi kuhusiana na hizi huduma za bundle na modem za haya makampuni . mfano kuna sehemu ukitumia modem fulani iko powa sehemu nyingine hata ukae mwezi modem inakusumbua sana mfano mzuri kigoma TTCL iko powa sana ila voda ni majanga na TIGO yaani sijui ni nini vile vile nasikia na aina ya modem inachangia maana humu wengine wanasema hii wengine ile basi ni mkanganyiko kwa kwenda mbele

Tatizo lako ni either kwenye interface ya modem yako ume set EDGE ambayo lazima iwe slow sababu ni 2G au huko kigoma 3G ya tigo na voda hamna...wapigie waulize modem nyingi ziko vizuri sababu zinashika 3G-3.75G
 
Tumezoea huduma bora kwa airtel, lakin kuanzia juzi, huduma zao zimebadilika kimya kimya, ukienroll bundle ya Mb 75 kama tulivozoea unapata Mb 50, hiyo haikuwa shida sana kupandisha gharama, shida zaidi ni pale unapojiunga alafu bila kutumia hizo Mb na bila kufikia muda wake wa kuexpire zinaisha from no where! Inasikitisha sana cz tumeexperience hicho kitu toka juzi, na si mimi peke yangu.
Pole sana ndugu yangu,nilifikiri ni mimi peke yangu yamenipata mara mbili! Ukiuliza hupati majibu ya kuridhisha!!Jitu kubwa kumwibia mtz aibu/shame.
 
Airtel ni majanga mi mwenyewe juzi nimeamua kubadilisha my blackberry internet services na kuhamia kwa wazee wa "kazi ni kwako". Waliniboa kwanza napata email moja tu kwa BIS ya 17500 kwa mwezi wakati the same amount voda napata unlimited emails halafu 3g yao kimeo inashika sehemu na sehemu hapa hapa Dar.
Waliniboa sana wakati naongea na customer care personnel wao wana majibu ya hovyo sana. No wonder wakenya wengi wakija Bongo wanaendelea kuchukua kazi na ku excel.
Mi nahisi mitandao ya simu yote inaboa ila kuna yenye afadhali.
So far nikilinganisha Airtel na Voda naona niifutilie mbali Airtel.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom