Huduma internet mtandao wa airtel ZINATISHA!!!!

Huduma internet mtandao wa airtel ZINATISHA!!!!

Huu mwaka mpaka uishe tutakua tumenyonywa kwa kiwango kikubwa sana.
 
Wote Wezi Wazuri tu, chagua mwizi mmOja vumiliana nae mpaka 2015 Nchi itapokombolewa..
 
Hakuna kitu kinanikera airtel kama usumbufu wakati wa kununua hivyo vifurushi ni kero
mpaka unajikuta wamekulazimisha kukuingiza sijui jirushe ili upige airtel kwa airtel.hili limenifanya
nijute kuhamia na sasa nimeamua kurudi kwenye majanga ya Tigo bora Kabaang haisumbui kuipata'
 
Hata voda wamebadilika 20000/- ilikuwa unapewa 5GB. Now mpaka uweke 25000/-. Kibongobongo tutafika kweli?![/QUOTE]

Hawa jamaa wanatuchinjia MAJINI.....Machozi yetu inakwenda na maji:A S 20:
 
Baunga mkono hoja! kunatatizo katika makato ya vifurushi vya internet kwa airtel binafsi nilikua natumia mb 40 kwa cku katika kifurushi cha mb 75 lakin sasa hivi nikinunua mb 50 ndani ta dakika 20 kimesha kwisha na nimejarbu kucheki kama coputer inafanya upgradining ya window outomaticaly lakin hakuna kitu update zote zipo off! inabidi wajirekebishe coz tatizo kama hili waliwahi kuz nalo voda pia sema nao walisha rekebisha! yaani makato yanatozwa kulingana na speed ya connection yako bila kujali umedownload/upload file ya ukubwa gan!
 
Sasa hivo nimeweka ile kiti ya 1999 nikapewa 175 mb na 60 minute amini usiamini nimetumia dakoka 14 kucheki mtandao nimetumiwa sms 90% ya kifurushi imeisha nasasa sipati net nimerudi home nilikokuzoea. Airtel 2much.
 
Walikamu 500 nililojiunga yaani siku pata huduma yeyote,halaf nilipowapigia wanaimba computer yao inaonesha kuwa nilitumia dk,sm na mb zangu,mpaka leo sina habar nao.
 
Siku hizi ili ujue una MB ngapi hadi uangalie kupitia *154*44# au *148*88#, kwenye yatosha wanaonyesha sms na muda wa hewani tu.
 
Inasikitisha sana sometimes una MB kadhaa ila ukifanya CONNECT inazingua yani ni TIZO:angry:
 
Tumezoea huduma bora kwa airtel, lakin kuanzia juzi, huduma zao zimebadilika kimya kimya, ukienroll bundle ya Mb 75 kama tulivozoea unapata Mb 50, hiyo haikuwa shida sana kupandisha gharama, shida zaidi ni pale unapojiunga alafu bila kutumia hizo Mb na bila kufikia muda wake wa kuexpire zinaisha from no where! Inasikitisha sana cz tumeexperience hicho kitu toka juzi, na si mimi peke yangu.

haya makampuni ya cm acha tu...
 
Awali....naweza kupata sms 700, mb 175, na dakika 70 kwenda mitandao yoooooote kwa Tsh 1999 tu. Ila imebadilika faster...yaani ni dakika 60 siku hizi.

Tena huu nao ni upumbabu mkubwa wa airtel
 
Hawa jama ni wezi kabisaaaa yani wmenikera sana
 
Tumezoea huduma bora kwa airtel, lakin kuanzia juzi, huduma zao zimebadilika kimya kimya, ukienroll bundle ya Mb 75 kama tulivozoea unapata Mb 50, hiyo haikuwa shida sana kupandisha gharama, shida zaidi ni pale unapojiunga alafu bila kutumia hizo Mb na bila kufikia muda wake wa kuexpire zinaisha from no where! Inasikitisha sana cz tumeexperience hicho kitu toka juzi, na si mimi peke yangu.

Mkuu yan hata mimi hapa ninabrowse nikiwa na 0 bytes...ni tatizo tu la kimfumo ambalo limetokea na kusababisha salio lako la data kusoma 0 bytes pamoja na kuwa bado bundle Balance unayo...endelea kubrowse tu watarekebisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom