Tumezoea huduma bora kwa airtel, lakin kuanzia juzi, huduma zao zimebadilika kimya kimya, ukienroll bundle ya Mb 75 kama tulivozoea unapata Mb 50, hiyo haikuwa shida sana kupandisha gharama, shida zaidi ni pale unapojiunga alafu bila kutumia hizo Mb na bila kufikia muda wake wa kuexpire zinaisha from no where! Inasikitisha sana cz tumeexperience hicho kitu toka juzi, na si mimi peke yangu.