Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Nimesema hao wenye apps wazue zisiwekwe kwenye OS za kichina, afu nikatoa mfano samsung watakubali kutumia OS ambazo hazina hizo apps wakati tayari wanayo super os android yenye hizo apps? Soma na kuelewa basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesema hao wenye apps wazue zisiwekwe kwenye OS za kichina, afu nikatoa mfano samsung watakubali kutumia OS ambazo hazina hizo apps wakati tayari wanayo super os android yenye hizo apps? Soma na kuelewa basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani samsung china hazitumiki?mbona zinatumika na google playstore haifanyi kazi kule sasa application wao wanatoa wapi wao wachina.

Ikitoka nje ya china inakua inakubali applications zote na ndivyo ilivyo sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hazipo sasa hizo applications kule china wao wako comfortable na wechat zao na baidu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamelazimika kutumia hizo za kwao sababu hawana uwezo wa kuaccess apps pendwa duniani. Mkuu nshakutolea hadi mifano. Elewa basi kwani nyama ikipigwa ban hapa bongo utasema watu wako confortable na kula dagaa harusini?!
Ndio hazipo sasa hizo applications kule china wao wako comfortable na wechat zao na baidu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mazingira yao wanaona sawa hao wachina

sasa mtu unazaliwa unavikuta vitu kama vilivyo unadhani utashangaa

sawa sawa leo hii mtoto anayezaliwa uingereza labda atakuta ushoga unaruhisiwa tena labda kwenye katiba yao unadhani huyu mtoto atachuliaje si ataona kitu cha kawaida kabisa kwake

Wale ni wazalendo na sheria zao wanazifuata vile vile na ndio maana wamepiga hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo uone sasa tofauti ya us na china, wakati wachina wa apps zao wenyewe, wamarekani wana apps zinazokick worldwide hadi china kwenyewe. Mkuu hadi hapo haiitajiki elimu ya chuo kikuu kujua nani zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini uwe tegemezi?

Kwani unadhani umezuiwa kutumia app za kichina?

Marekani wanafanya fitna na china nao wana fanya fitna vile vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan huoni urusi anavyotoa povu us akifanya yake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…