Kwani lazima waende kwenye soko la china?hakuna masoko mengine
Maana hata India wana massive population wanakaribiana kabisa na china
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia mkuu, kazi yako imeshaisha hadi hapo ulipouliza swali, subiri majibu. We uliona wapi conclusion inawekwa kabla ya majibu.unasemaje anaongoza market share halafu hapo hapo ukasema alipitwa?... ina maana haongozi.... msitulishe matango pori nyinyi
Unaweza ukawa unaongoza kwenye market share lakini usiongoze kwenye utengenezaji wa wingi wa bidhaa zakounasemaje anaongoza market share halafu hapo hapo ukasema alipitwa?... ina maana haongozi.... msitulishe matango pori nyinyi
Hao USA ndio wajima sasa wanaweka protectionism wao ila wakiwekewa wao wanaanza kulalamaKwani na China ni lazima wauze bidhaa zao USA? Hakuna soko jingine? Bandiko la kipuuzi hili la mwaka 47, 2019 huwezi kuwa na wazo la ujima kama hili.
Hahaha hapa watamuweza mchainaWakifika uko wanazima Android system kwa simu zote zinazotengenezwa na China
Apo ndio Vita lazima mchina achemke na hana operating system yoyote. Kwa iyo itakuwa aibu kubwa Sana kwa Chinese
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee nakufuatilia nakuelewa sana unajibu kitaalam..kuna wadau humu bado wana mahaba na marekani bila kujua trump anauua uchumi wa marekani kila siku...china wana vitu muhimu vyote katika biashara..soko la ndani,vitendea kazi pamoja na nguvu kazi..marekani wanajijua ni mda tu na fitna ndo vinavyowabebaUnaweza ukawa unaongoza kwenye market share lakini usiongoze kwenye utengenezaji wa wingi wa bidhaa zako
Apple walisema ana market share kubwa sana sababu ana revenue kubwa kuliko mobile maker wote duniani lakini sio kwamba yeye ndio mtengenezaji wa simu nyingi duniani sijui umeelewa au vipi
Apple ana revenue kubwa sababu bei ya vifaa vyake ni kubwa kushinda hao maker wote waliobaki na ndio maana ana revenue kubwa
Nimekuambia kua apple kapitwa na hauwei kwa uzalishaji wa simu nyingi duniani ila sijasema kapitwa kwenye market share wala revenue.
Nafikiri umenielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni noma sana, nimempa likes kibao lkn hata sichoki kwa kadri ninavyozidi kusoma comments zake.Huu Uzi toka mwanzo nilitaka kuleta ushabiki na fix lkn nilivyosoma comment nikagundua huu Uzi unaitaji akili kubwa na fact
Wewe ni mmoja kati ya ma GENIUS umetoa bonge wa comment aise umewazidi wote
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Soma vizuri hizo screenshots kutoka forbes nafikiri utaelewa vizuri hawa Samsung na huawei ni maker wakubwa wa simu duniani na wamempita apple lakini apple ndio ana market kubwa zaidi kutokana na kua na revenue kubwa kuzidi wote haounasemaje anaongoza market share halafu hapo hapo ukasema alipitwa?... ina maana haongozi.... msitulishe matango pori nyinyi
Hao USA ndio wajima sasa wanaweka protectionism wao ila wakiwekewa wao wanaanza kulalama
Wanaingilia affairs za government zingine ila wakiingiiliwa wao dunia nzima itajua
Mkuki wa nguruwe au siyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
vp mzee bado unabeba box huko?karibu Tanzania ya viwanda fursa kibao ah ah maana unatetea mbele mbele sanaaaHahahahaha weye ukauze bidhaa zako nchi A bila masharti na ni soko lako kubwa sana kuliko nchi yoyote ile duniani, na nchi A ikitaka kuja kuuza bidhaa zake kwako uanze kujibaraguza na masharti ili upate technology kwa kuforce kupitia mlango wa nyuma. Amka mkuu this is 2019 scratch my back I’ll scratch yours otherwise WE DONT PLAY.
vp mzee bado unabeba box huko?karibu Tanzania ya viwanda fursa kibao ah ah maana unatetea mbele mbele sanaaa
Kuna siku iphone zitazuiliwa china,hapa apple watapata pigo kubwa sana hii michezo haihitaji hasira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nothing is fair in this world bro and industrial espionage is is the new thing...end are the days to send spies for military gains..even USA become superpower because of technology transfer from German jewsKwenye sheria uhuru na haki haihusu kitu uko wapi duniani ili ujue nani mwenye haki na nani mwenye makosa. Sikubaliani na Trump kwenye kila kitu with exception of this one to make sure that when it comes to trade China participate fairly instead of forcing to acquire technology through back doors.
Duhh .... byeee byeee Amerca..hahaa China wakifikia hii hatua USA haiwezi tena kuendelea kuwa super power " I wish ninge zaliwa 2030 ili haya yajayo niweze kuyaona wakati waujana wangu " .... hivi hakuna dawa ya kurudisha umri nyuma !?Kiukweli USA ndiyo inayo tapatapa haitaki kuona multipolar world
Kila mtu anayefanya biashara vizuri anamuwekea vikwazo hapa inaonekana ameshindwa kufanya biashara ushindani umemshinda kwa kiasi kikubwa na nchi za ulaya zimeanza kumstukia
Mfano kujenga tu bomba la gas kutoka russia kwenda Germany hataki ili tu aje kuuza LNG yake ambayo ni very expensive kwa ulaya
Na Germany imesema haitakubali watajenga tu hilo bomba maana anajua faida zake na yule ndio powerhouse ya Europe na bomba kwa sasa lipo 70%
Juzi Italy imetangaza kujiunga na silk road project ya china ambayo inapunguza karibia nusu ya gharama za biashara kwa sasa marekani alivyosikia hivyo kaanza kumpiga mkwara Italy
One road,one belt (silk) ni muunganiko wa network za barabara,reli na meli na njia zingine za usafiri kuanzia china mpaka ulaya mpaka africa kwa hiyo itafikia kipindi utatoka na gari/train kutoka china mpaka ulaya mpaka africa hapo ita harakisha sana global trade kwa kiasi kikubwa sasa hapa marekani anaona wivu sana china atapata influence kubwa mno na faida pia
kila atakaye ingia kwenye hiyo project anampa vikwazo huko ni kutapa tapa aache watu wafanye biashara kama kashindwa ushindani akae pembeni au ajipange upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee !!! HahaaUkichukua GDP peke yake kabla hujaweka PPP unakua hujaelezea uchumi vizuri wa nchi husika ndio maana hata IMF huwa wanaangalia uchumi uliobase kwenye nguvu ya manunuzi(purchasing power parity)
Kwa GDP peke yake USA ina global share ya 24% ila nilichokua ninazungumzia mimi ni GDP based on PPP ambayo ni indicator iliyokomaa zaidi kwenye kuelezea uchumi wa nchi
According to IMF GDP based on PPP USA ana 17% ya global economy
Hawa jamaa wajanja mno mwaka 2016 walivyozidiwa PPP na china wakabadili gear angani wakaanza kusema PPP sio kigezo kizuri cha kiashiria cha uchumi na wakati hapo mwanzoni ndio ilikua kigezo kikubwa kabisa chaku onyesha uchumi wa nchi husika,wakadai kigezo kizuri ni GDP na wala sio ile per capita kama zamani iliyokua,siku wakizidiwa GDP sijui itakuwaje
Zamani kabisa ilikua ukiwa mtumiaji mkubwa wa nishati duniani wewe ndio unakua na kiashiria cha uchumi mkubwa na ulioimarika waliyopitwa wakatoa hiyo kwenye makaratasi,ni fitna juu ya fitna
View attachment 1040632
Sent using Jamii Forums mobile app
Nothing is fair in this world bro and industrial espionage is is the new thing...end are the days to send spies for military gains..even USA become superpower because of technology transfer from German jews
Dawa ya kurudisha ujana ipo tena hiyo inaitwa kanombe grade one saana inatumika kigomaDuhh .... byeee byeee Amerca..hahaa China wakifikia hii hatua USA haiwezi tena kuendelea kuwa super power " I wish ninge zaliwa 2030 ili haya yajayo niweze kuyaona wakati waujana wangu " .... hivi hakuna dawa ya kurudisha umri nyuma !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Corporate Espionage Is Big Global BusinessHuh! Technology transfer should be done in a proper way. Forcing in one way or another to acquire technology is not right and USA has all the rights to fight back.
Dah na mimi namfatilia huyu jamaa majibu yake hadi naona napata shule ya bure bila ada.mzee nakufuatilia nakuelewa sana unajibu kitaalam..kuna wadau humu bado wana mahaba na marekani bila kujua trump anauua uchumi wa marekani kila siku...china wana vitu muhimu vyote katika biashara..soko la ndani,vitendea kazi pamoja na nguvu kazi..marekani wanajijua ni mda tu na fitna ndo vinavyowabeba