Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,088
The end of uncle samChina akipoteza soko la Marekani hilo tu litakuwa pigo tosha hata Huawei wa-source hizo components locally haitawasaidia kitu.
The end of uncle samChina akipoteza soko la Marekani hilo tu litakuwa pigo tosha hata Huawei wa-source hizo components locally haitawasaidia kitu.
Tatizo jiwe anafikiri maendeleo ni vitu. Ila ni syndrome ya watanzania wengi kudhani kuwa maendeleo ni vitu. Ni kawaida kwa mtu mmoja mmoja kuhusianisha maendeleo na vitu, lakini serikali inapotawaliwa na watu wenye fikra hizo mara nyingi husababisha majanga kwenye jamii.Watanzania tunabakia tu kusoma wenzetu wanafanya nini, baaada ya hapo tunabaki kuIkodolea ndege za Magufuli zikipita angani, Nasikia eti zinaenda mswaki
Siasa hizi bosi zisikunyofoe akili, wewe kweli Kwa akili zako huoni umuhimu wa kuhesabia makm ya rami?Tatizo jiwe anafikiri maendeleo ni vitu. Ila ni syndrome ya watanzania wengi kudhani kuwa maendeleo ni vitu. Ni kawaida kwa mtu mmoja mmoja kuhusianisha maendeleo na vitu, lakini serikali inapotawaliwa na watu wenye fikra hizo mara nyingi husababisha majanga kwenye jamii.
Badala ya kutazama mambo ya msingi kama income ya mtu mmoja mmoja, ubora wa elimu, ajira, huduma za afya, nk.. serikali inajisifia kwa kilometa za barabara, fly over na ndege, bila kujali IMPACT ya hivyo vitu kwa mtu mmoja mmoja.
Per capita income growth ni % ngapi?Siasa hizi bosi zisikunyofoe akili, wewe kweli Kwa akili zako huoni umuhimu wa kuhesabia makm ya rami?
Ni kweli huoni maboresho katika idara ya afya?
NB : Unapotaka hayo yote uangalie na uchumi tulionao kama taifa otherwise itakuwa ni nongwa tu inakusumbua aidha kwa serikali iliyopo au kwa raisi Magufuli.
Ni suala la muda. Trump hatakaa.milele hapo. Makampuni ya biasgara yanaweza kuvumilia hata 10 years. Wanajua akija mwingine anapindua sera.Unafikiri Trump atawaweza kweli hao wachina?
Per capita income growth ni % ngapi?
Unemployment ni % ngapi?
What is the employability of our graduates? (Unaweza kuwalinganisha wahitimu wa vyuo Tanzania na wahitimu wa nchi nyingine?)
Access to health ipo? How many doctors per 1000 patients?
Acha fikra za ajira za kutembeza vikapu barabarani mkuu. That is not a sign of development.
Unapoona lundo la vijana barabarani wanafanya maandamano yasiyo rasmi elewa kuwa yawezekana umaskini unaongezeka kwa kasi au ongezeko la kipato lipo chini kulinganisha na ongezeko la watu.
Kipaumbele cha nchi yako ni kipi??? Mpaka utake kuiba teknolojoa kwa manufaa yakoHizi mbinu kama bado hatujaiba basi tuziibe ili zitusaidie
Nalog off