Huawei y300 arusha duka gani zinapatikana?

Huawei y300 arusha duka gani zinapatikana?

Ngosha255

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
430
Reaction score
512
Msaada
Kwa anayejua zinapouzwa simu tajwa hapo juu kwa arusha anijushe
Pamoja na bei yake.
 
Nenda Jogoo House,ulizia duka la "Nondoz" au "kwa Oscar" .
 
Anayetaka nimpe namba ya jamaa amenipatia yangu mpyaaa na kila kitu chake halafu laini zote kwa 200,000/- tu
 
Anayetaka nimpe namba ya jamaa amenipatia yangu mpyaaa na kila kitu chake halafu laini zote kwa 200,000/- tu

Huyo jamaa ndo anaziuza au kakunulia?
Nipatie namba ya huyo jamaa.
0756908809
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom