Huaweii ni noma sana Mimi ni mwaka wa tatu toka niinunue na niliwahi iangusha kwenye maji kwa muda wa dakika 20 nikiitafuta!!! Nikaikuta nikajua hapa sina simu nilichokofanya nilitoa laini na betri nikaiwe juani kwa muda wa dakika 40 tu ...nikaiwasha nikaona IPO fresh nikasema Hanna haja ya kununua cm nyingine mpaka Leo natumia huawei y530