unataka kubisha p6 sio high ended?
Yeah pia ziko na muonekano mzuri tofauti na HUAWEi ipo na ncha kali
KCAMP,flagship ni nini,na ipo kwenye huawei za bei za kawaida? (y)
p6 ni midrange, simu kali za huawei zipo kwenye series ya honor kama vile honor 6
Ivi unajua techno anatengeneza simu za kuuza Africa tuu?hujui chochote wewe Techno level zake in Bird, itel n.k
Angalia rank ya February World's top 10 mobile phone companies- The Times of India
flagship ndio sura ya kampuni, ni simu inayotolewa kuonesha technology ya kampuni imefika wapi always inakuwa bei ghali
Na high end ni nini?
P6 ni high end phone, na p7 ndio flagship phone ya huawei kwa sa ivi hizo honor siyo
chief ile lesson ya gta sa cheats inakuaje ss?
hebu google honor 6 halafu compare na hio p7 uone kama zinafanana, p7 kapitwa kila idara. hizi p series ni midrange zinaletwa tu huku dunia ya tatu na nchi ambazo wanapenda simu affordable.
na hio p6 imeachwa mbali na simu za bei rahisi za asus yaani zenfone.
sasa kama simu za bei rahisi za asus zinaipita p6 na we unaclaim p6 ni highend unakuwa unawadhalilisha huawei.
hebu google honor 6 halafu compare na hio p7 uone kama zinafanana, p7 kapitwa kila idara. hizi p series ni midrange zinaletwa tu huku dunia ya tatu na nchi ambazo wanapenda simu affordable.
na hio p6 imeachwa mbali na simu za bei rahisi za asus yaani zenfone.
sasa kama simu za bei rahisi za asus zinaipita p6 na we unaclaim p6 ni highend unakuwa unawadhalilisha huawei.
kaka tunaongelea quality ya smartphones znazotengenezwa na sio uuzaji wa mobile phones in general..! Top five smartphones zenye quality right now ni htc onem8,samsung s5,lg g3,sony experia z3, na iphone 6 na latest ya huawei ni mate 7 ambayo haiwez kucompete na hizo simu kuanzia mauzo hadi quality..
Embu niambie HTC M8 imeizidi kitu gani huawei p7
Pixel density:
Huawei:445
HTC m8: 441
Camera
Huawei front:8mp, rear: 13mp
Htc m8: front: 5mp, rear: 4mp dual camera
Body material
Huawei: glass(scratch resistant)+aluminium
Htc m8: aluminium
Bei tu.
Kuiita P7 mid-range mi naona kama sio fair. Huawei kajitahidi sana kwenye P6 na P7 ndio zaidi. Ni bonge la flagship phone.
Mid-range za Huawei maybe hizi Ascend G series na Low-ends ni Y series kama y300s na y500s.
Kinachomata ni specifications, kuuzwa bei ndogo sio sababu ya kuiita Mid. Hiyo hiyo simu (P7) kwa specs na material hayo hayo angeitoa Samsung au Apple mngepigwa bei kubwa na mngesema "Damn, look at this amazing High End phone".. Tuwe wa kweli.
Kwa specs za 4G LTE, 5" 1080p 441ppi screen, 2GB RAM na internal ya 16GB expendable upto 64GB via MicroSD, 13MP na 8MP cameras, na Android OS, v4.4.2 (KitKat) with Chipset HiSilicon Kirin 910T, CPU Quad-core 1.8 GHz Cortex-A9 na GPU ya Mali-450MP4, nitabisha hadi kufa hii sio mid, ni High-End.
Mkuu P7 na P6 siyo midrange
Mkuu, naomba kudandi uzi wa jamaa yetu. Mimi naomba kufahamu:flagship ndio sura ya kampuni, ni simu inayotolewa kuonesha technology ya kampuni imefika wapi always inakuwa bei ghali