Huawei vs tecno (which is the best smart phone ?)

Huawei vs tecno (which is the best smart phone ?)

mkuu secret,bajet yangu ni kil.1 hadi 2 net haizid hapo.pia najari odondokaji wa simu(uimara) nina wasi wasi na huawei
 
mkuu secret,bajet yangu ni kil.1 hadi 2 net haizid hapo.pia najari odondokaji wa simu(uimara) nina wasi wasi na huawei

Are you serious? Mbona zote zinaundwa na plastic kaka. Sio Huawei wala Tecno.

Kama unataka brand new mi na recommend Huawei Y330 over Tecno.
 
Secret ishu sio plastic bwana,kudondosha nokia orignal na Huawei hawawezi kuwa sawa ingaw zote plastc
 
Secret ishu sio plastic bwana,kudondosha nokia orignal na Huawei hawawezi kuwa sawa ingaw zote plastc

kwasababu Nokia Smartphone huwezi kupata kwa hiyo bei. Zote plastic lakini kuna cheap plastic na nyingine hard hizi polycarbonate mzee ni ngumu kama Steel.

Hizi smartphone za bei rahisi zinatengenezwa na material cheap, ikiwemo plastic na kioo, so ikianguka kupasuka au crack ni kawaida kaka.
 
Secret simaanish crack,kuna cm ikidondoka kuwaka utata,na nyingine hata idondokewe na tofali itapata crac but inadunda
 
Simu zote ni nzuri, ila tu tecno amekuwa na jina baya kutokana na historia. Lakini kama bajeti yako ni nzuri nunua Huawei P6 kwa high end smart phone. Endapo ni mtu wa kuangusha angausha simu, nunua techno phantom.

nani kakwambia huawei p6 ni high end phone?
 
Huawei huez fananisha na tecno..techno hata flagship hana...hata gsm arena haipo
 
huawei wako juu simu zao wanazotoa ni high quality zingine zina uwezo mkuwa sana mfano huawei ascend mate 7 ina octa core ungilinganisha na tecno
 
Back
Top Bottom