Wakuu salama?
Kuna mchina nafanya nae kazi ss alienda china akarud na hiyo simu inaitwa Huawei mate8,mm nataka ninunue hyo simu ila naiona km feki hv mana OS yake inaitwa YunOS na si android.
Embu nipeni mawazo kwa anaeijua hii simu km ni geniuine
yunos ni os ya alibaba ni android sema imebadilishwa sana. uwezekano mkubwa ni simu original lakini usifikirie feature zake zitakuwa kama simu za kawaida tegemea kuona mambo mapya.
mkuu maswali yoote hapo juu nakushauri tu achana nayo
1. china hakuna playstore
2. hio ni os ya kichina tegemea app nyingi za china
3. nilijua una mchongo nayo unaipata bure au kwa nafuu kumbe unainunua kama simu nyengine