Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 811
- 1,312
Bei hiyo inafika mkuu lakini mimi ninayo huawei p10 lite 32 GB used 400,000Wakuu wa jukwaa heshima yenu...
Naamini kichwa cha habari kinajieleza tosha na wala hakitakuwa kigeni kwenye jukwaa hii
Simu tajwa hapo juu (huawei mate 10 pro) ndo simu niliyovutiwa nayo kuinunua kwasasa
Naombeni ushauri wa kitaalamu kabla ya manunuzi ,maana nimeambiwa inauzwa 1,350,000tsh
Je ni kweli iyo bei au napigwa? na je thamani ya simu husika na bei yake inaendana?
Nawakilisha na kushukuru in advance....asante
Unanunulia wapi?Wakuu wa jukwaa heshima yenu...
Naamini kichwa cha habari kinajieleza tosha na wala hakitakuwa kigeni kwenye jukwaa hii
Simu tajwa hapo juu (huawei mate 10 pro) ndo simu niliyovutiwa nayo kuinunua kwasasa
Naombeni ushauri wa kitaalamu kabla ya manunuzi ,maana nimeambiwa inauzwa 1,350,000tsh
Je ni kweli iyo bei au napigwa? na je thamani ya simu husika na bei yake inaendana?
Nawakilisha na kushukuru in advance....asante
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Opera mini wanamajibi yako waulize
*3 mzukaaaaaaaaaaa*Wakuu wa jukwaa heshima yenu...
Naamini kichwa cha habari kinajieleza tosha na wala hakitakuwa kigeni kwenye jukwaa hii
Simu tajwa hapo juu (huawei mate 10 pro) ndo simu niliyovutiwa nayo kuinunua kwasasa
Naombeni ushauri wa kitaalamu kabla ya manunuzi ,maana nimeambiwa inauzwa 1,350,000tsh
Je ni kweli iyo bei au napigwa? na je thamani ya simu husika na bei yake inaendana?
Nawakilisha na kushukuru in advance....asante
*3 mzukaaaaaaaaaaa*
HAPA UTAJIPATIA SIMU MCHANGANYIKO
Huawei P9 lite
16gb
350,000
Huawei P9
32gb
550,000
Huawei P10 lite
32gb
450,000
Huawei P10
64gb
750,000
Huawei P10 pro
128gb
850,000
Huawei P20 lite
64gb
900,000
Huawei P20
64gb
1,200,000
Huawei P20 pro
128gb
1,800,000
Samsung Galaxy Tab S3
64gb
Cellular
950,000
Sony Xperia XZ
64gb
650,000
Sony experia XA1
64gb
650,000
0714230566
NB; *SIMU ZOTE NI MPYA NA RANGI ZOTE ZINAPATIKANA*
Mtafute huyo jamaa ana simu nzuri kwa bei rahisi kabisa
Mtaka cha uvunguni?
Toa ngawira hiyo ipate simu
ni fair hio bei, mate 10 ni equivalent ya note 8.Wakuu wa jukwaa heshima yenu...
Naamini kichwa cha habari kinajieleza tosha na wala hakitakuwa kigeni kwenye jukwaa hii
Simu tajwa hapo juu (huawei mate 10 pro) ndo simu niliyovutiwa nayo kuinunua kwasasa
Naombeni ushauri wa kitaalamu kabla ya manunuzi ,maana nimeambiwa inauzwa 1,350,000tsh
Je ni kweli iyo bei au napigwa? na je thamani ya simu husika na bei yake inaendana?
Nawakilisha na kushukuru in advance....asante
ni fair hio bei, mate 10 ni equivalent ya note 8.
sema je hio mate 10 yako ni mpya? ni version ambayo inapaswa kuuzwa hapa Tanzania? ama ni refurbished phone wameitoa korea huko wanakuja kukupiga nayo huku?
according to gsmarena wana version 3sasa hapo ndo pagumu mzee baba....ebu naomba nisaidie nkuu kuna namna yoyote ya kuprove version sahihi kabla sijainunua?
according to gsmarena wana version 3
-BLA-L09 ambayo ni line moja
-BLA-L29 ambayo ni line mbili
-BLA-AL00 ambayo ni ya china
utaenda setting kisha about kuangalia model. tafuta moja wapo kati ya hizo mbili za mwanzo tegemea na mahitaji yako L09 na L29, hio version ya china achana nayo, au ukikuta model nyengine tofauti na hizo tatu ilete humu au igoogle kwa maelezo zaidi.
Yupo wapi au a napatikana Mkoa gani*3 mzukaaaaaaaaaaa*
HAPA UTAJIPATIA SIMU MCHANGANYIKO
Huawei P9 lite
16gb
350,000
Huawei P9
32gb
550,000
Huawei P10 lite
32gb
450,000
Huawei P10
64gb
750,000
Huawei P10 pro
128gb
850,000
Huawei P20 lite
64gb
900,000
Huawei P20
64gb
1,200,000
Huawei P20 pro
128gb
1,800,000
Samsung Galaxy Tab S3
64gb
Cellular
950,000
Sony Xperia XZ
64gb
650,000
Sony experia XA1
64gb
650,000
0714230566
NB; *SIMU ZOTE NI MPYA NA RANGI ZOTE ZINAPATIKANA*
Mtafute huyo jamaa ana simu nzuri kwa bei rahisi kabisa
Yupo dar. Ana duka mbezi mwisho na kariakooYupo wapi au a napatikana Mkoa gani