Huawei kuja na new Operating System yao

Ni sawa na wewe uliyekuwa hujui kitu kabisa na hatimaye sasa hivi unajua kitu kabisa, bado pia hujui vitu vyote 7bu pa1 na ujuaji wako wa hivyo vitu vipo vingine vidogo au vikubwa ambavyo vitakuumbua tu utapotakiwa kuvidadavua mbele za Watu.

Je nani alijua itafikia wakati utajua?
Nani kathibitisha kuwa unajua?
Je ndiyo ukomo wako ulipofikia ktk kujua zaidi ya hapo jibu ni NO.

So acha kuogopesha Watu na kuwahakikishia habari za China kutoshindwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake coz hakuna ambaye alitegemea USA angekuja kuwa mvumbuzi wa hizo teknolojia zake alizonazo leo hii na hakuna mwenye uhakika kuwa huo ndiyo ukomo wa teknolojia ya juu kwa USA kuvumbua vitu vingi zaidi na vyenye mashiko kuliko hata hizi OS, Microsoft word programs, Facebook, Instagram, WhatsApp n.k.

Bado kila kukicha ushindani wa Watu wenye upeo ktk uvumbuzi mbali mbali umekuwa ukitokea tena ukikua kwa kasi zaidi kulinganisha na karne za zamani.

Amini usiamini tukiwa hai au hata tukiwa tushakufa lkn bado China watapata tu ufumbuzi wa hiyo teknolojia yao kwa muda usiojulikana.

So usikariri kuwa USA ndiye mwanzo na mwisho wa teknolojia jibu ni HAPANA haijalishi itachukua hata karne ngapi lkn bado tu inawezekana vizuri sana China kuja kujiimarisha kiteknoojia hadi akampiku huyo USA, ambavyo 1961 alikuwa sawa na TZ kiuchumi lkn akajitahidi kupambana hadi kufikia ktk miongoni mwa nchi bora zilizoendelea na zinazokua kwa kasi kiuchumi kila mwaka sasa hivi.
 
Mwaka 1961 China haikuwa sawa na Tanganyika kiuchumi na kiteknolojia, ilikuwa mbele sana.
 

Ahahahaha mkuu mbona unajizunguka mwenyewe umesema wanaweza kujiendesha wenyewe alafu unataka wamtegemee tena mmarekan kwa njia nyingine kwel mkuu upo sahihi trump kasema usipate huduma kabisa sasa youtube utaipataje tena ahahahahaha umeona umuhimu wa hizo kampuni ata we umeshindwa kuzitenganisha
 
Blackberry alipotea kishamba
Windows phone pia
Nokia na symbian yake
Hao wote hawakuzifanya Os zao kuwa open source. Labda km na huawei atafanya hilo kosa.
 
Nokia amepanda wapi??? Au mlima kilimanjaro?
 
Akija na 5G ndio mtamuelewa.. Acha kubweteka na tecno yako hiyo.. Fuatilia NOKIA 3.1, 5.1 na 2.1.. Wanakuja na 2.2 wame launch India juzi imetoka 2 weeks ago, bei ya kawaida lakini Sim kali
Nokia kampuni inayotengeneza 5g na HMD anayetengeneza simu za Nokia ni kampuni mbili tofauti.
 
Akija na 5G ndio mtamuelewa.. Acha kubweteka na tecno yako hiyo.. Fuatilia NOKIA 3.1, 5.1 na 2.1.. Wanakuja na 2.2 wame launch India juzi imetoka 2 weeks ago, bei ya kawaida lakini Sim kali
Nokia kimauzo duniani hata top 10 haingii... Wewe sijui umetoka kijiji gani unasema nokia anapanda kwa kasi.... Hebu niambie nokia mwaka 2017 ameuza units ngapi? pia mwaka jana ameuza units ngapi? then ndo tuendelee kuongea....
 
Imeanza kupanda iliyopoanza kutumia Android OS, NOKIA kwenye Ulimwengu wa Android OS haina mda mrefu.. Imefeli na Windows phone hao wachina wako watakuja na OS Gani watoboe??
Nokia kimauzo duniani hata top 10 haingii... Wewe sijui umetoka kijiji gani unasema nokia anapanda kwa kasi.... Hebu niambie nokia mwaka 2017 ameuza units ngapi? pia mwaka jana ameuza units ngapi? then ndo tuendelee kuongea....
 
Nikweli unachosema lakini siyo swala la kufanyika kwa muda mfupi lazima lichukue muda mrefu kidogo,ukweli Huawei wanamtihani mkubwa na nilazima wayumbe kibiashara,bila shaka tangu mgogoro huu uanze hata mauzo ya simu zao yameshuka coz Mimi leo hii siwezi kwenda dukani kununua simu ya Huawei wakati najua baada ya miezi 3 sitaweza Tena kutumia YouTube WhatsApp n.k,ninauzalendo gani na Huawei hadi niji risk kiasi hicho wakati kuna simu nyingi tu za makampuni mengine ambazo ntatumia bila stress.
 
Nokia amepanda wapi??? Au mlima kilimanjaro?
Kama unamaanisha Nokia mama kampuni yenyewe still ipo strong tena sana tu, na kama kawaida yao wapo mbele kwenye gunduzi mbalimbali zinazodefine generation vitu kama 5G, mapinduzi ya viwanda (viwanda visivyoajiri watu), magari yanayojiendesha yenyewe etc.
 
Huyu jamaa anazungumzia simu. ndo nmemuuliza last year nokia ameuza pcs ngapi za simu???? na pia mwaka juzi je? ili tuone kama kweli anapanda kwa kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ