interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Tatizo kubwa la China na itawagarimu hawataki kuinvest kwenye research, wao wanataka kuiba tech.
Nyie watanganyika mme-invest kwenye nini?Tatizo kubwa la China na itawagarimu hawataki kuinvest kwenye research, wao wanataka kuiba tech.
Sisi tumewekeza kwenye chama cha mapinduzi kisitoke madalakaniNyie watanganyika mme-invest kwenye nini?
Sijawahi kuiba. Ila naamini sana kwenye innovationWewe umeiba technology ipi iliyotupeleka ktk uchumi wa dunia ya kwanza kama China au wa kati kama Kenya [emoji848]
Basi waacheni wasioamini ktk innovation wajipigie pesa 7bu huwezi kutaja top 5 countries leading with nowadays technology in the world bila ya kumtaja Mchina, mbali na hapo utakuwa una chuki zako binafsi tu juu ya Wachina 7bu hata ktk hatua za nchi 10 bora kimaendeleo hakosekani, sasa huoni kama una matatizo mahali hivi[emoji848][emoji28]Sijawahi kuiba. Ila naamini sana kwenye innovation
Sawa mkuu nime kuelewa. Ila unaweza kuendelea kwa kufanya duplication, hasara ni kama hivi mwenye nacho akikubana unaanza kulia.Basi waacheni wasioamini ktk innovation wajipigie pesa 7bu huwezi kutaja top 5 countries leading with nowadays technology in the world bila ya kumtaja Mchina, mbali na hapo utakuwa una chuki zako binafsi tu juu ya Wachina 7bu hata ktk hatua za nchi 10 bora kimaendeleo hakosekani, sasa huoni kama una matatizo mahali hivi[emoji848][emoji28]
Tofauti yetu sisi ngozi nyeusi ni kuogopa changamoto lkn weupe hutumia hizo changamoto kama fursa kujikomaza zaidi kiakili na kutoka walipo na kwenda mbali zaidi kiubora.Sawa mkuu nime kuelewa. Ila unaweza kuendelea kwa kufanya duplication, hasara ni kama hivi mwenye nacho akikubana unaanza kulia.
Hata hao Google projects zao nyingi walizoanzisha zimefeli, nyingi zimefeli kuliko zilizofaulu, unazoziona zinafanya vizuri mfano android ama youtube ni product zilizokuwa zipo tayari wao wakazinunua na kuziendeleza.
Ni rahisi kununua kitu kuliko kuanzisha. Hapo china kuna os kibao zimeanzishwa tena makampuni makubwa lakini still zimeshindwa ku take over. Mfano red os, yun os, kylin etc mpaka leo bado windows na Android zinaongoza.
View attachment 1122607
Suala la tech unaweza fikiri ni rahisi sana yaani unatengeneza OS kisha unaiweka sokoni na watu wanaanza kutumia. Ukumbuke mchina kapigwa stop kutumia OS ya Android ambayo ni mali ya Google pamoja na service zake na pia Facebook nao wameungana na Google. Kwahiyo Mchina akitengeneza OS yake inabidi developer watengeneza app inayoendana na hiyo OS ila hatoweza kutumia facebook, youtube wala search engine ya google na app zingine za google kama gmail n.kTofauti yetu sisi ngozi nyeusi ni kuogopa changamoto lkn weupe hutumia hizo changamoto kama fursa kujikomaza zaidi kiakili na kutoka walipo na kwenda mbali zaidi kiubora.
Nakwambia hapo China ni muda tu ndiyo utaamua kuwa siyo wa kimchezo ktk technology 7bu asingekuwa na jeuri ya kuleta kiburi ikiwa bado hajajipanga ktk kupambana na anayemtegemea.
Endelea kukariri ulemavu wa akili kwa kuogopa changamoto ili uzidi kutawaliwa kila siku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuombe tu uzima Mungu atuweke hai, hakuna ambacho ni kipya ktk dunia hii hadi uwaone USA ni miungu watu wasioweza kupata washindani na wakaondolewa ktk reli ya teknolojia yao.Suala la tech unaweza fikiri ni rahisi sana yaani unatengeneza OS kisha unaiweka sokoni na watu wanaanza kutumia. Ukumbuke mchina kapigwa stop kutumia OS ya Android ambayo ni mali ya Google pamoja na service zake na pia Facebook nao wameungana na Google. Kwahiyo Mchina akitengeneza OS yake inabidi developer watengeneza app inayoendana na hiyo OS ila hatoweza kutumia facebook, youtube wala search engine ya google na app zingine za google kama gmail n.k
Mfano. App ya android huwezi install kwenye IOS kwahiyo Mchina inabidi ajipange siyo kitoto. Kutoboa kwenye tech siyo jambo dogo kama unavyofikiri. Kwasasa Android na IOS ndiyo inasumbua.
Nikukupa simu ya Nokia Lumia ya window au Symbian nafikiri unaweza kuiuza ili ununue yenye OS ya android.
Kawauulize Blackeberry na Nokia kuhusu OS zao. Ndiyo uone muziki unavyokuwa kwenye tech.
Kiufupi mchina inabidi ache mambo ya ku-copy na ku-paste ili awe vizuri kwenye technlogy tofauti na hapo hakuna lolote maana tumeona iPhone, Samsung, Nokia, Motorola, Sony za Kichina yaani unataka sony au Nokia lakini unauziwa ya kichina. Shubamiti na wengi sana walinunua simu feki za kichina.
Amtoe kwa sababu ganiAnalia sababu, mmarekan anataka amtoe kwenye soko la Dunia.
Wanauchumi walisema kufikia 2030 , china itaipiku marekan uchumi.Amtoe kwa sababu gani
Wanauchumi walisema kufikia 2030 , china itaipiku marekan uchumi.
Sasa Marekan, ili halitaki, ndo unaona mambo ya vikwazo n.k .
Kuongoza kiuchumi ni jambo moja, na kuishika hiyo nafasi ni jambo jingine, ndio hapa swala la kukua kwenye kila nyanja linakuwa haliepukiki. Leo hii uwe super power halafu internet ya watu, OS za watu, miritary tech unazidiwa na watu,[emoji16][emoji16]my friend hiyo nafasi umewekea mtu.Wanauchumi walisema kufikia 2030 , china itaipiku marekan uchumi.
Sasa Marekan, ili halitaki, ndo unaona mambo ya vikwazo n.k .
Mkuu US kuwa super power sio jambo la kubahatisha, na hapa ndipo mchina anapata picha kamili kwamba, kumbe viatu anavyovitaka ni vikubwa sana.Tuombe tu uzima Mungu atuweke hai, hakuna ambacho ni kipya ktk dunia hii hadi uwaone USA ni miungu watu wasioweza kupata washindani na wakaondolewa ktk reli ya teknolojia yao.
Nakuhakikishia kabisa kuwa China atafaulu mambo yote hayo lkn muda ndiyo Mwalimu tosha kuamua yote hayo.
Tuombe tu uzima Mungu atuweke hai, hakuna ambacho ni kipya ktk dunia hii hadi uwaone USA ni miungu watu wasioweza kupata washindani na wakaondolewa ktk reli ya teknolojia yao.
Nakuhakikishia kabisa kuwa China atafaulu mambo yote hayo lkn muda ndiyo Mwalimu tosha kuamua yote hayo.
Mchina ni mtu wa kuanzishiwa njia kisha anafuata.Sahihi kabisa.. kwa hao Android wameanza mwaka gani?? Kabla ya smartphone android alikuwa anajulikana?? Na tukumbuke technology inakuwa kila kitu.. nashanga kuona baadhi ya watu wakiamini kuwa hilo jambo la kuwa na os na app zao haliwezekana. Hii ni imani potofu.. tuomb3 usima mchina ana uwezo mkubwa wa kufanikisha hilo..
asante maana tulikuwa tumeshafungwa kamba sasaMI-UI hilo neno UI ni user interface au kiswahili rahisi muonekano. Hio ni operating system ya android yenye muonekano wa Xiaomi na sio operating system ya xiaomi.
Huelewi chochote.Tofauti yetu sisi ngozi nyeusi ni kuogopa changamoto lkn weupe hutumia hizo changamoto kama fursa kujikomaza zaidi kiakili na kutoka walipo na kwenda mbali zaidi kiubora.
Nakwambia hapo China ni muda tu ndiyo utaamua kuwa siyo wa kimchezo ktk technology 7bu asingekuwa na jeuri ya kuleta kiburi ikiwa bado hajajipanga ktk kupambana na anayemtegemea.
Endelea kukariri ulemavu wa akili kwa kuogopa changamoto ili uzidi kutawaliwa kila siku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]