Huawei imepoteza app baada ya kuiroot

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Nimatumaini wadau wa uzi huu muwazima wa afya. Mimi natumia huawei y300, ambayo nilifanikiwa ku-root, matatizo yametokea baada ya kuroot kwani nimejikuta nimeomdoa app muhimu ambazo nizatoleo la cm,(siyo za kudownload), basi naomba kwa yeyote mwenye maujanja ya kufanya ili irudi katika hali ile ilivyo kuwa dukani(mpya). naomba kuwasilisha
 
hapo haiwezekani. . .siku ukinunua simu mpya usirudie ku root
 

Umetumia app gain kuremove ?
 
Nimetumia kingroot

Nilimaanisha Umetumia app gan Ku uninstall hizo apps manager nyingine kama app manager, uninstaller zinakuwa na recycle bin unaweza kurudisha tena app yako kupitia hiyo.

lakini kama uliitoa turn na apps za kienyeji basi file lako hutolipata.
Njia sahihi nikureflash stock ROM ya simu yako na kueka nyingine kama kweli you are indeed need it, and you're android pro.

Nadhani ulikurupuka pia kufanya hivyo, kwakuona kama prank Fulani hivi, manager ungeweza kudisable tu hizo apps zisiaccess shughuli zako na data launcher zisingeonekana.

Mi nimetoa Massaging stock app nine replace na Textra, na pia nimetoa Contacts stock app nime replace na xDialer.
Nime disable Stock file manager nakuweka ES explorer.
kuna Siku nilitoa Android keyboard kwenye simu ya one of my fiañce ili niitheme na iphone keypad ya Smartkey kwasabu aliishazoea, nilifanikiwa lakini nilipoizima nakuiwasha ile niingize password, kile kibox kinatokea lakini keypad hazionekani, kumbe kile kiapp hakikujiweka default ili ata ninapowasha ni access, bahati nzuri ilikuwa haina data za msingi mana ilishafanyiwa backup, nikaeka new ROM.

Angalia ROM ya simu yako then itafute google au ata samMobile.
- snipa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…