Huawei Conference live muda huu

Samsung now is the world's best manufacturer of Smartphones and Smart TVs.
 
W
 
Ee
Pamoja na hayo mtoto wa mmiliki wa huawei anatumia iphone
 
Sawa kabisa Japan ndyo SUPERIOR
 
Kwaiyo tukio live ndio halina link?

Naww jifunze kukubali kukosolewa pale unapokosea jambo
 
Sasa mkuu umeleta mada hata ww hauijui,haijulikani ni conference ya nini,hakuna link,

Alaf umeongea kishabik,yani kifo cha android kiletwe na hyo hongmeng? Sio Leo
hii mara ya pili wanazindua Ha ha.
Mambo ya kuiba tech yameisha.Sasa wanafinya vi macho vyao vidogo waone bugs zipo wapi
 
ulaya gani unazungumzia mm
Tumetoka Manchster UK Huawei haipo dukani kabisa unaambia kama unataka agiza online Simu nyingine kibao zimejaa dukan. Manchester sio mji mdogo

Labda unaongelea ulaya ya v mtandaon
au zipo kibao NY kwa Trump

Naona watuvlbwanasoma opinion za google halafu wanabandika hapa.
Kitu kizuri hupati shida. Mpaka sasa Simu nyinginevbado zinatikisa wachina wenyewe wana wanapanga foleni kununuam Umesikia kuna foleni kwenye hizo Huawei wanazozipigia kelele.
 

Huawei and other Chinese brands are dellusional...

Kibaya zaidi ni hawa my fellow Africans who are Chinese dick riders...
 
Huawei and other Chinese brands are dellusional...

Kibaya zaidi ni hawa my fellow Africans who are Chinese dick riders...
Huawei imeripoti mauzo yake kupanda kwa zaidi ya 30% tangu Trump kujipa jukumu la kuipigia kampeni. Ukweli mchungu.
 
Huawei and other Chinese brands are dellusional...

Kibaya zaidi ni hawa my fellow Africans who are Chinese dick riders...
Ila nikuonye tu matusi si jambo jema, lete hoja sio habari za kashfa. Ficha upumbavu wako mkuu.
 
Unionye wewe kama nani?

Natukana,kuonya kaonye wanao na mkeo!
Kama mwana jf, hujatumia lugha nzuri. Si jambo la kiungwana hata kidogo, jaribu kuwa unajadili mada sio matusi. Hiyo habari ya dick suckers ni nini?
 
Kama mwana jf, hujatumia lugha nzuri. Si jambo la kiungwana hata kidogo, jaribu kuwa unajadili mada sio matusi. Hiyo habari ya dick suckers ni nini?

Jikite kwenye mada

Cha ajabu unapoteza muda kudiscuss matusi hayo hayo as if umetukanwa wewe au yeyote humu directly!

Nimetukana imaginary Huawei team worldwide,sio wewe au yeyote humu!

Hata kama ni mmojawapo,tukifanya approximation basi wewe ni so negligible compared to the rest worldwide hivyo huusiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…