Huawei Conference live muda huu

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,843
Reaction score
10,768
Wako live Youtube, andika Huawei Central. Nahisi wanatambulisha OS mpya, ARK OS au HONGMENG. Je, kifo cha Android kimewadia?
 
Sasa mkuu umeleta mada hata ww hauijui,haijulikani ni conference ya nini,hakuna link,

Alaf umeongea kishabik,yani kifo cha android kiletwe na hyo hongmeng? Sio Leo
Huyu ni team china
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]rudi mirembe ulipotoroka
Asante, ila mimi siongei kishabiki kama wewe. Nimekuwa nikifuatilia msugusno ulioo kati ya Trump na Huawei na let me tell you, tangu Trump ajichanganye kuifungia Huawei, mauzo yake yamepaa. Watu wengi huko ulaya na Marekani walishauri huawei waznzishe OS yao kumaliza monopoly ya android. Bahati njem kwa huawei walishaona kuwa siku moja hili litatokea, wakawa wameshajiandaa.

Sasa wewe unayejadili ushabiki endelea, huna unalojua zaidi ya kutaja components za simu. Hujui hata siasa iliuopo kwenye hivi vits. Hujui kama huawei inashambuliwa kwa kuwazidi technology Samsung na Iphone. Hujui kuwa mnunuzi mkubwa wa chip toka Silcon Valley ni nani. Hujui lolote kuhusu soko kubwa la Samsung ni wapi. Hujui kuwa Google wanategemea wapi kuendelea kudumu sokoni.

Endelea kutaja ram, chip, memory, camera n.k. Ndio upeo wako ulipoishia
 
Huyu ni team china
Nope, niliona niwashirikishe muelewe, nami niliifuma tu hiyo conference nikiwa kwenye majukumu mengine. Wenye upeo wameelewa maana yangu, wenye udhindani usiotija (kama kawaida ya wabongo) wametoka kapa na kuanza kugawana upande
 
Sasa mkuu umeleta mada hata ww hauijui,haijulikani ni conference ya nini,hakuna link,

Alaf umeongea kishabik,yani kifo cha android kiletwe na hyo hongmeng? Sio Leo
Nimeifuma wakati natafuta jambo fupani kama research. Wakati mwingine mjifunze kuappreciate taarifa, hii sio tukio lililopita, nimeonyesha kuwa linaendelea na nikaeleza jinsi ya kuingia, lakini bado tu kwako ikawa ni vibaya. Unataka nikae kumyampaka kikao koishe ndio mije kukutaarifu? Niliwalenga walio na shauku kufuatilia kinachoendelea na sio wanaosubiri masimulizi.

Samahani kwamba hukunielewa, ila next time kuwa makini, kama tukio ni live, nenda mwenyewe kajionee. Nilikuandikia type: android central utawapata. Wakati mwingine sio lazima uwekewe link, hilo ni jina la channel yao.
 
Nope, niliona niwashirikishe muelewe, nami niliifuma tu hiyo conference nikiwa kwenye majukumu mengine. Wenye upeo wameelewa maana yangu, wenye udhindani usiotija (kama kawaida ya wabongo) wametoka kapa na kuanza kugawana upande
Asante kwa kutushirikisha, but mwishoni umemaliza kishabiki zaidi
 
Hujui kuwa mnunuzi mkubwa wa chip toka Silcon Valley
mjanja 'chipset' anatengeneza mwenyewe sio 'kununua'
processor zote za simu za Huawei ni ARM based, ambazo ni za UK
UK akikata supply za izo ARM, Huawei anakufa kifo cha mende

HW kwanza ndipo SW inafata
ukiwa na OS yako then still HW (chipsets) unaagiza ni ujinga wa kiwango cha lami
 
Lazima tukubali kuwa mchina sio muafrika kivyovyote anawekeza katika njia ya kujitegemea zaidi na ukweli atafika sababu anajituma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…