Huawei android ya tigo

Huawei android ya tigo

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,120
Reaction score
5,119
Wakuu,nafanya kazi vijijini na naomba msaada wa ushauri kwa simu inayoweza kunisaidia ku access mail,download some files/attachment.
Nimeiona hii android ya HUwaei inayouzwa na tigo na bei yake imenivutia.
Naomba ushauri wenu.
 
Ni nzuri sana kuna jamaa yangu anayo
anafurahia huduma nyingi za kidijiti
Mpaka nami nikashawishika lakini
Mimi nilinunua Samsung GT-S6102
DUOS.
 
Ni nzuri nami pia ninayo inafanya maisha ya kidijitali kuwa mepesi...japo ukiweka some settings inakaa na chaji muda mfupi.
 
Ni nzuri sana kuna jamaa yangu anayo
anafurahia huduma nyingi za kidijiti
Mpaka nami nikashawishika lakini
Mimi nilinunua Samsung GT-S6102
DUOS.
Asante mkuu,that's why naipenda JF>
 
Back
Top Bottom