html5 & css

neophyte

Member
Oct 21, 2018
79
22
katika programing language hasa html5&CSS

ndio lugha nilio anza nayo na nahitaji kubobea katika hii lugha na
web designing
ila kuna changamoto mbalimbali
amazo zinanikabili
katika safari yangu
kaba vile kuchagua rangi nzuri yaani (background color)
na kuilemba website
pia natumia notepad++
nahitaji kutumia sublime text nifanyej wadau
 
Kazana mkuu kutengeneza ma kachumbari ni kawaida ukiwa unajifunza cha msingi first usichague app gan ya kutumia kwan codes ni zilezile pili unatakiwa kwanza uzizoee izo codes then ndio uanze designing so utakuwa web designer
 
Color Matters. 6 Tips on Choosing UI Colors
Soma hapo ujue kuchagua color na kufanya mambo ya color alafu refer kwenye css sasa
But uchaguaji wa color unategemea na unachodesign kina maudhui gani mfano website ya kilimo inapendezaukiwa na white na green n.k
Vyivyo hivyo web nyingi za burudani zina black n.k so kila rangi ina maana issue sio tu css bali kuelewa mazingira husika ya audience wako then njoo kwa css.

Kuhusu editor sikushauri hiyo unayotumia

Tumia bracket editor ni free open source yenye extension kibao kwa ajili yako.
Faida yake ni quick preview yaani kama ulishawaitumia eclipse,netbeans ide unarun code kwenye button kwa juu vivyo hivyo na bracket editor,pia huitaji plugin kwa ajili ya theme yaani unaweza chagua blaxk thEme au white theme kwenye editor nzima uzuri wa black theme ni afya ya macho yako kama unakaa kwenye kiwanda/pc yako muda mlefu rangi nyeupe plus msosi unakula kama ni full wanga itakula kwako bro miwani inakusubiri.
Komaaa. Mkuu maisha mazuri yanataka bidii ....
 
thanks brother
 
ahsante kaka nimekupata vilivyo nitazidi kuleta mrejesho hapa kadri navyo songea
 
nashukru kwa ushirikiano wenu. jana nilianza kufanyia kazi ushauri wenu
kwenye upande wa writer nilipakua bracket
lakini nikitaka ku run kama walivyo elekeza kwa kutumia live preview ina goma
nakutana na errors in troubleshoooting
naomba mniwezeshe juu ya hili
20181125_093030.jpg
 
nashukru kwa ushirikiano wenu. jana nilianza kufanyia kazi ushauri wenu
kwenye upande wa writer nilipakua bracket
lakini nikitaka ku run kama walivyo elekeza kwa kutumia live preview ina goma
nakutana na errors in troubleshoooting
naomba mniwezeshe juu ya hiliView attachment 945498
live preview ya bracket ina support chrome by default kama Os yako ilikuwa umekwiusha install chrome but ata ukiwa na browser yoyote cha msingi chagua ipi iwe default browser kama unatunia mozilla ,opera,edge n.k
nifuate hivi hiyo error kwisha habari yake.

1.set default browser alafu fungua html file live preview je imejubali?

kama vipi solution rahisi ni ;
i./right click project folder yako then open with bracket.
ii./ndani ya bracket click html file yako itaonyesha code zako.
iii./angalia kwenye bracket tab select file>enable experimental live preview

NOTE: BRACKET HAIFANYI LIVE PREVIEW KWA FILE ZA CSS BALI KWA HTML FILE TU MAANA NAONA KAMA UNALIVE PREVIEW CSS

{{ "komaaaaa sasa! " }}
 
Attachments

  • Screenshot (19).png
    Screenshot (19).png
    23.7 KB · Views: 14
live preview ya bracket ina support chrome by default kama Os yako ilikuwa umekwiusha install chrome but ata ukiwa na browser yoyote cha msingi chagua ipi iwe default browser kama unatunia mozilla ,opera,edge n.k
nifuate hivi hiyo error kwisha habari yake.

1.set default browser alafu fungua html file live preview je imejubali?

kama vipi solution rahisi ni ;
i./right click project folder yako then open with bracket.
ii./ndani ya bracket click html file yako itaonyesha code zako.
iii./angalia kwenye bracket tab select file>enable experimental live preview

NOTE: BRACKET HAIFANYI LIVE PREVIEW KWA FILE ZA CSS BALI KWA HTML FILE TU MAANA NAONA KAMA UNALIVE PREVIEW CSS

{{ "komaaaaa sasa! " }}
ahsante nitaleta mrejesho soon
 
Back
Top Bottom