HSC Kuishitaki Dira ya Mtanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HSC Kuishitaki Dira ya Mtanzania

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Acha Uvivu, May 27, 2012.

 1. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ile kampuni ya Home Shopping Center inayohusishwa na familia ya rais wa Tanzania JK na pia kutuhumiwa kwamba hailipi kodi inapoingiza bidhaa nchini imelipeleka gazeti la Dira la Mtanzania mahakamani.
  Habari imeandikwa na gazeti la Tanzania Daima la leo tar.27 Mei kama tangazo ambapo kampuni hiyo imesema inaenda kudai haki mahakamani kwa kuidhalilisha mbele ya wateja wake na jamii kwa ujumla.
  My take, je hiyo kampuni ya Home Shopping Center haioni kuwa kwa kufanya hivo itakuwa inajichafua zaidi na kwamba hao waandishi wanaweza wakawa na ushahidi wa kuipoteza kabisa kwenye ramani na ukiangalia vuguvugu la mabadiliko la sasa? Na kwamba inaweza ikamchafua zaidi JK?
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HSC inawezekana kuna ukweli waende tu kwa pilato wanawatisha nini hao Dira ya Mtanzania.
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Wanatishia tu.
   
Loading...