hapo kwenye redna wale wote wenye kutaka rushwa ya ngono hasa kwa wake za watu, wewe Oscar wa ofisi za mazingira acha ufuska.
Hebu funguka zaidi mkuu, ni Oscar wa Mazingira wapi, ofisi gani? na hata kama majina yote mawili unayo, huenda ikasaidia/ikatusaidia kumfunza adabu.na wale wote wenye kutaka rushwa ya ngono hasa kwa wake za watu, wewe Oscar wa ofisi za mazingira acha ufuska.
if u are a believer muombe mungu atakuongoza pale penye nafasi yako, mungu ana kusudi la kila mtu hapa duniani amekupangia mambo mema, usiapply kila kazi ukiona tangazo just pray muulize mungu kama ni yako then uapply kwa imani,hata kama kazi ina mtu ukimuomba mungu kwa imani unaweza ukapata wewe.
MaHR wote mnaowaita watu kwenye usaili wakati kuna mtu wenu mmeshamuandaa mlaniwe na Mungu, machozi ya wale wote waliopoteza nauli zao kutoka Katavi, Kibondo, Namtumbo na kwingineko mbali kufuata interview za post ambazo nyie HR mnajua kuwa mmeshawapatia watu au ni za watu flani wenye ushawishi nakuapia hayataenda bure, ipo siku machozi hayo yatawarudia tena mara zaidi ya watafuta ajira.
Cha msingi cha kufanya sio lazima kuweka matangazo yenu kwenye magazeti wakati mnajua kabisa kuwa ni geresha, nyie kaeni kimya msiudanganye umma wa waTanzania kuwa mnatoa ajira tena bila upendeleo wakati sio kweli. Cha kufanya chukuaneni kimya kimya kama wanavofanya baadhi ya makampuni then acheni kuwasumbua watoto wa watu, acheni kabisa mtindo huo wa kusafirisha watu safari za mbali wakati moyoni mnajua mnalolitenda ni kinyume na maadili ya kikristu au iwe hata ya Kiislam. Kwa HR yeyote anaefanya unayama huu mshindwe na mlaaniwe na mtakuja kulipia machozi ya watafuta ajira siku moja, acheni na mkome kabisa
hebu funguka zaidi mkuu, ni oscar wa mazingira wapi, ofisi gani? Na hata kama majina yote mawili unayo, huenda ikasaidia/ikatusaidia kumfunza adabu.
if u are a believer muombe mungu atakuongoza pale penye nafasi yako, mungu ana kusudi la kila mtu hapa duniani amekupangia mambo mema, usiapply kila kazi ukiona tangazo just pray muulize mungu kama ni yako then uapply kwa imani,hata kama kazi ina mtu ukimuomba mungu kwa imani unaweza ukapata wewe.
Leo unalalamika ulivyofanyiwa lakini huwa hamchelewi kusahau, siku na wewe ukipata nafasi ya HR mahali fulani utawafanyia ubaya hata wa kupitiliza wenzio na hata ya kudai rushwa ya ngono.
hapo kwenye red
Nafikiri ujumbe unamfika bila chenga.
ngoja watu walifanyie kaz alaf tuone mwisho wake.
Hata tume ya ajira mie sijaielewa, wanatangaza nafas 2, then wanaita watu 267 kwenye intvyu, mtu unakata tamaa kabla hata ya kwenda, ni kama vile hawajui wanataka nn, au wanaondoa lawama?
Unamaanisha NEMC?ofisi zao zipo mitaa ya kairuki hospital kule!