Msaada,kijana anataka kujisajili huku HPRS ili atume maomba ya kazi,sasa sehemu hii ya mfumo wao haitaki kurespond(hiyo drop down box hairespond chochote) hivyo hawezi kuendelea na usajili,shida ni nini? Hata technical support hawapokei simu
ThanksAjaribu kutumia browser ya chrome, mara nyingi mifumo ya serikali inasumbua sana na pia afute 'cache and cookies', ikigoma kabisa asubiri usiku sana au asubuhi mapema ndo aingie tena