HP pro book 434

ommy clear

JF-Expert Member
May 26, 2018
214
57
Habari wanajf natumia pc aina ya HP lakini naona kwenye batani kuna herufi nikizibonyeza zinatoa sauti alafu naweza nikabonyeza t ikaja hivi t" au y ikaja y[ naomben kujua shida nini? Au setting?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom