HP Laserjet Print Cartirage

HP Laserjet Print Cartirage

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,374
Reaction score
848
HP Laserjet Cartirage 85A ya printer yangu imeisha wino nikiprint baadhi ya maandishi yanakuwa hayaonekani vizuri,kwa wenye kufahamu namna ya kurefill naomba msaada na kama kuna madhara ya kurifil kwa printer yapo nifahamisheni.
 
Kurifill hiyo ni 25000 Tu ila tena ungekuwa unajua kuifungua hiyo ingekugharimu pesa kidogo zaidi. No PM nikupe directives
 
Mie pia nina tatizo hilo,wapi wanauza wino wa kurefill hizo tonner na bei yake vipi?
 
Kuwa makini usije ukaingia gharama zaidi baada ya ku refill. Manufactures walikuwa na maana yao kushauri ununue wino mpya. Unaweza ukaharibu printer yako baada ya muda flani
 
Back
Top Bottom